KERO Responded Hali ya Vyoo vya UDOM, College ya Education - Block C, hapa kipindupindu nje-nje

KERO Responded Hali ya Vyoo vya UDOM, College ya Education - Block C, hapa kipindupindu nje-nje

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest


Hiyo ni Chuo Kikuu Cha UDOM mazingira ya vyoo ni mabaya yaani inatisha zinaweza pita hata siku nne bila usafi kufanyika, na hapo watu mnalipa accommodation fees.

Hii hali ni ya muda mrefu sana, tumekuwa tukitoa tàarifa hasa kwa mbunge wa block na block warden lakini unakuta wakijitahidi sana usafi unafanyika floor ya kwanza na ya pili lakini floor ya tatu na ya nne hiyo hali mpaka sasa hivi muda huu ipo.

Hiyo ni college ya education UDOM, Block C ambalo linakaliwa na wanafunzi wa college of health and allied science, kiufupi mazingira ni mabaya sana kwa afya zetu. Hapa chuo hakijafungwa.

Ufafanuzi wa Chuo ~ Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimechapisha video inayoonesha vyoo vya majengo yao ni visafi
 
😤😤😠😡🤬 na mnalipa ada kila semester?
 
AFU NIlikaa hiyo block C Final Year Room number 35 na Wanangu Alex, Nico, Linus sema Maisha yalikuwa Safi sana

Gademit
 
Watabisha
Hapo Wanatoka Wasomi Ili Nao Waje Kufanya Mabadiliko Kwa Mazingira Hayo
 
Back
Top Bottom