Kiranja Mkuu JF-Expert Member Joined Feb 18, 2010 Posts 4,219 Reaction score 4,608 Apr 7, 2023 #1 Jana niliona maandalizi yakifanyika, waliandaa misumari mikubwa, mbao kubwa za msalaba na pia nyundo kubwa Pia kulikuwa na mijeredi, marungu na fimbo nyingi sana. Pia kulikuwa na mikukì standby, naona hii ni ya kumchomea ubavuni akiwa pale juu msalabani. Leo bado sijapata updates za kutoka Kenya, mwenye nazo naomba atusaidie. MK254 hebu tupe taarifa za huko
Jana niliona maandalizi yakifanyika, waliandaa misumari mikubwa, mbao kubwa za msalaba na pia nyundo kubwa Pia kulikuwa na mijeredi, marungu na fimbo nyingi sana. Pia kulikuwa na mikukì standby, naona hii ni ya kumchomea ubavuni akiwa pale juu msalabani. Leo bado sijapata updates za kutoka Kenya, mwenye nazo naomba atusaidie. MK254 hebu tupe taarifa za huko
Raymanu KE JF-Expert Member Joined Jan 20, 2022 Posts 8,611 Reaction score 16,118 Apr 7, 2023 #2 Boma lake limezingirwa na maaskari kwa ajili ya kumuwekea ulinzi. Mwamba yupo ndani amejichimbia tu.
itoko jr JF-Expert Member Joined Feb 26, 2023 Posts 1,126 Reaction score 2,537 Apr 7, 2023 #3 [emoji28][emoji28]
Madame S JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 17,171 Reaction score 34,394 Apr 7, 2023 #4 😂😂😂😂😂😂😂😂