#COVID19 Hali ya Zitto Kabwe inaendeleaje baada ya kupata changamoto ya Corona?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
KC Zitto Kabwe wa ACT wazalendo alitutangazia kwamba amepatwa na changamoto ya covid 19 na kwamba amejilockdown.

Leo ikiwa ni siku ya kuwatembelea wagonjwa na kuwaombea ni vema tukajulishwa hali yake kwani siyo rahisi kumfikia kwa changamoto aliyonayo.

Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
 
Hakuna mnafiki kama Zitto hapa Tanzania! Hakuwa anaumwa chochote....
 
Zito ana uzowefu wa kushambilia na kukwepa.kwaiyo Covid 19 aiwezi mzingua.
 
KC Zitto Kabwe wa ACT wazalendo alitutangazia kwamba amepatwa na changamoto ya covid 19 na kwamba amejilockdown.

Leo ikiwa ni siku ya kuwatembelea wagonjwa na kuwaombea ni vema tukajulishwa hali yake kwani siyo rahisi kumfikia kwa changamoto aliyonayo.

Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
Zito si yumo humu
Mtag akupe majibu ya maendeleo yake

Ova
 
Sasa yeye alichanja, na hata sasa anahamasisha watu wakachanje ili hali yeye amesema anaumwa Covid-19?!

Aisee Mbona inashangaza sana!
 
Hakuna mnafiki kama Zitto hapa Tanzania! Hakuwa anaumwa chochote....
Pole pole na kabudi unawaacha wapi?hawa ni wanafiki wakutupwa kipindi cha katiba mpya walikuwa mbele kutuambia katiba mpya wakapewa ulaji na magu wakasema sio kipaumbele chao
 
Back
Top Bottom