Ingekuwa aibu ya mwaka endapo Zito angejenga hoja ambayo kwa namna Moja au nyingine ingempa unafuu Mwenyekiti wa Chadema wakati WAFUASI wake wamekomaa wakiamini kutoa amri kwa Rais ndiyo njia Bora zaidi.
Nikimwangalia Mwenyekiti Hana mtu wa kumpambania anatakiwa apambane mwenyewe tofauti kama wao wangekuwa ndani najua angekuwa amesolve tatizo siku nyingi sana.