johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
KC Zitto Kabwe wa ACT wazalendo alitutangazia kwamba amepatwa na changamoto ya covid 19 na kwamba amejilockdown.
Leo ikiwa ni siku ya kuwatembelea wagonjwa na kuwaombea ni vema tukajulishwa hali yake kwani siyo rahisi kumfikia kwa changamoto aliyonayo.
Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
Chadema kuweni na utu hata kidogo basi!Zitto ni mzima wa afya hana ugonjwa wowote,udalali wake ndio ulimlazimisha kujichimbia mafichoni.
Hivi kwa sasa ana kazi gani?Akaunti yake ipo twitter ina retweet kuhusu mabadiliko chanya, bila shaka yupo imara, anaendelea kuchapa kazi
Ni kiongozi mkuu wa chama chake😁Hivi kwa sasa ana kazi gani?
Ni mshauri wa SMZ!Hivi kwa sasa ana kazi gani?
Ahsante bwashee!Yupo sawa...
Ana kazi ya kuongeaHivi kwa sasa ana kazi gani?
Zito si yumo humuKC Zitto Kabwe wa ACT wazalendo alitutangazia kwamba amepatwa na changamoto ya covid 19 na kwamba amejilockdown.
Leo ikiwa ni siku ya kuwatembelea wagonjwa na kuwaombea ni vema tukajulishwa hali yake kwani siyo rahisi kumfikia kwa changamoto aliyonayo.
Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
Unaweza ukawa sahihi.Zitto ni mzima wa afya hana ugonjwa wowote,udalali wake ndio ulimlazimisha kujichimbia mafichoni.
Pole pole na kabudi unawaacha wapi?hawa ni wanafiki wakutupwa kipindi cha katiba mpya walikuwa mbele kutuambia katiba mpya wakapewa ulaji na magu wakasema sio kipaumbele chaoHakuna mnafiki kama Zitto hapa Tanzania! Hakuwa anaumwa chochote....
Mgonjwa siyo wa kumsumbua!Zito si yumo humu
Mtag akupe majibu ya maendeleo yake
Ova