Hali yaendelea kuwa mbaya st joseph songea!!

RUTATINA

Member
Joined
May 27, 2013
Posts
12
Reaction score
3
Ndugu wa na jf hili life chip la Wahindi ni shida Tupi. Had I sasa wanachuo hawajapata fedha ya kujikimu awamu ya pili. Si hilo tu, mambo kibao kama vile kuchakata matokeo ya wachuo kinyume na yalivyo tolewa na main campus, kutumia wakufunzi wasio na uwezo wa kufundisha wote wahindi. Wameshindwa kuajiri loan officer, wanachuo kitivo cha computer with edu husoma Nitalala ya India ktk somo education.

Ndugu serikali na wana habari wanajua tatizo hili. Hofu ni kubwa kwani udicteta ni Mkubwa!! Elimu imewekwa njiapanda badala yake biashara inaendelea!

Ufuatiliaji kuhusu lini Pesa za wanachuo zimelipwa umefanyika na kubaini kuwa vyuo vyote vimelipwa hawamu ya pili mwishoni mwa mwezi Novemba mwaka Jana. Habari Ndo hiyo kama Kuna mwenye maoni, tunaomba ushauri wenu wa na janvi tuone la kufanya. Nawasilisha!!
 
jamani tulikomboe taifa na sio kulalamika mtapewa zitakapokua tayari
 

kaka vumilia sana hiyo ndo sjiit,mwaka 2011 wanachuo karibia 300 tuliondoka hapo kwa kukosa bum,waulizen mwaka wa 4 na 3 watawapa ful info..kwa sasa nipo matogoro.
 
Uongoz mzma wa hapo umebadalika,pia hao wahnd wapo kibiashara zaid kuwen makn sana madogo,walimu wenu wa CL wanatoka kwe2 hapa matogoro,ushaur kama mnaweza badlshen chuo.
 
Kaaaa yaani hata sisi st jose ya arusha hivohivo hawajui kufundisha tena computer ndo usiseme hata mkopo pia badooo
 
kaka vumilia sana hiyo ndo sjiit,mwaka 2011 wanachuo karibia 300 tuliondoka hapo kwa kukosa bum,waulizen mwaka wa 4 na 3 watawapa ful info..kwa sasa nipo matogoro.

Kijana mi niko mwaka wa 1 yaan chenga tu hawa jamaa nasoma computer nataka niachane nao nisome dip. so naomba unisaidie cha kufanya ili nipate nafasi hapo unaposoma kwa muhura mpya! degree ya wahindi ntarud 2025.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…