Hali yarejea kawaida St. Joseph University Arusha

Hali yarejea kawaida St. Joseph University Arusha

Joined
Oct 2, 2014
Posts
74
Reaction score
6
Mungu ashukuriwe sasa hivi chuo kimeanza kufanana na vyuo vingine, many things are ok now!
 
MH,mbona kama mimi siamini vile,hao wahindi wafanya biashara wasumbufu kama nn,kuna rafk yangu anasoma st joseph ya mbezi bado kidogo aache chuo kwa ujinga wao,wao pesa mbele na ada kubwa kama nn,plus usumbufu mwengine kibao
 
wahindi watazirudisha hizo pesa kweli hao?

mkuu watu wanahasira mpaka kiongozi wetu akiongea pumba tunamzingua yani kiufupi no st joseph in arusha ni aibu
 
sawasawa mkuu mambo yatakaa sawa hususani mbunge na waziri kivuli Suzani lymo analisimamia hilo suala

pamojaa mkuuu wangu tutashinda kwa uwezo wa mungu baba
 
hawa wahindi wana akil kwel wanatoaje nots ya chuo kufungwa bila utaratibu wowote leo
 
Ni mara nyingi nimesikia vyuo vya St. Joseph kuna migogoro.
 
Back
Top Bottom