Kweli yupo mtu anayenunua magazeti ya Uhuru na mzalendo?Hivi mbona hamuelewi, puuzeni huo uzushi wa bei ya mbolea🐒
View attachment 2021258
Umesahau ndege mkuuMamilioni ya kuwalipa wabunge hewa kina Mdee yapo, ila ya kuweka ruzuku kwenye mbolea haipo. Serikali ya hovyo
Tatizo mbolea za chumvi zinaongeza kiwango cha Acid kwenye udongo wakati bacteria wanaitaji acid kwenda base ( 6-8 pH ) ili kuweza kufanya michakato mbali mbali kwenye udongo so unakuta bacteria wanakufa au kuwa dormant kutokana na kiwango Cha Acid kuwa kikubwa ( pungufu ya 5 pH )Hivi kitu gani kinatufanya tuendelee kutumia mbolea ya chumvichumvi,wakati kwa muda mrefu mikoa ilotumia mbolea hizo ardhi imeharibika i.e Iringa.Wakati wenzetu wanatumia mboji organic. Wataalamu mnieleweshe hapa.Nilichojifunza chumvichumvi inazuia ardhi kujitengenezea mbolea kwa njia ya asili.Yaani bacteria wanatoweka.Hii imekaaje wataalamu.
Nahisi kuna makusudi hapa ili bei ya mahindi ipae kwa lazima!Habari za kazi Wana JF/wadau/wananchi? Huku kwetu DAP ni laki na elfu arobaini.140,000/=hivi kwa Bei hii kilimo kitafanyika mwaka huu?
Hebu tupaze sauti, tuwasaidie wakulima hali ni Tete msimu huu.
Hamna makusudi almost 2 years hakukuwa na uzalishaji duniani watu wamejifungia corona virus, what do you expect??kwamba mbolea na pembejeo zinajiotea tuu huko viwandani watu wamefungiwa wasitoke, mbona badoNahisi kuna makusudi hapa ili bei ya mahindi ipae kwa lazima!
Lazima nyie Sukuma gang tuwakomoe..Boss wenu alikuwa anaingilia sana mambo ya watanzania mfano angekuwa ametoa pesa kupunguza makali..Hiyo tunaita kuharibu mfumo wa masokoSisi SUKUMA GANG ndo tunakomolewa sisi KWA kutaka kuilinda legacy na Sasa ni mwendo wa tu TOZO,VIFURUSHI,MAFUTA,UMEME,MAJI,MBOLEA,MFUMUKO WA BEI n.k
Bi TOZO akikusikia utajuta kuonana na Kingai.Sisi SUKUMA GANG ndo tunakomolewa sisi KWA kutaka kuilinda legacy na Sasa ni mwendo wa tu TOZO,VIFURUSHI,MAFUTA,UMEME,MAJI,MBOLEA,MFUMUKO WA BEI n.k
labda wamefanya hivyo kuondoa hizo mbolea za sumu sokoni..Yaani kwa sasa shamba imekua changamoto. Mtu unahitaji DAP , bado UREA ongeza na CAN hapo madawa. Mafuta kwa ajili ya kumwagilia ! (Gharama za trekta na vibarua) Wengine mito tunayotumia imefikia hatua inabidi tupangiane siku za kumwagilia [emoji23][emoji23] maana maji yamekua kidogo sana au labda uamke usiku sana. Na bei ya mazao kwa kweli haiendani na gharama za uendeshaji ona Nyanya mwaka huu, Pilipili hoho , Nyanya chungu afadhali Maharage yanatubeba.
Kwa nilivyowaza mimi Bustan naipumzisha yale mashamba nayarudisha kizamani nitatia samadi ya kutosha kisha yanakaa mpaka mwezi may ndo nayafufua tena. Vinginevyo hiki kilimo tutakichukia
Mkuuu wameziba masikio kabisaaaa, wanaleta gonjera za kujenga kiwanda dodoma.Habari za kazi Wana JF/wadau/wananchi? Huku kwetu DAP ni laki na elfu arobaini.140,000/=hivi kwa Bei hii kilimo kitafanyika mwaka huu?
Hebu tupaze sauti, tuwasaidie wakulima hali ni Tete msimu huu.
kabisa mkuu zinaharibu ardhi yetu ila sijui mamlaka haiwezi kusema hadharani!? maybe ni biashara za mabwana wakubwa..Hivi kitu gani kinatufanya tuendelee kutumia mbolea ya chumvichumvi,wakati kwa muda mrefu mikoa ilotumia mbolea hizo ardhi imeharibika i.e Iringa.Wakati wenzetu wanatumia mboji organic. Wataalamu mnieleweshe hapa.Nilichojifunza chumvichumvi inazuia ardhi kujitengenezea mbolea kwa njia ya asili.Yaani bacteria wanatoweka.Hii imekaaje wataalamu.
Mkuu kama uko eneo ambalo samadi inapatikana kwa urahisi fanya hivyo.Yaani kwa sasa shamba imekua changamoto. Mtu unahitaji DAP , bado UREA ongeza na CAN hapo madawa. Mafuta kwa ajili ya kumwagilia ! (Gharama za trekta na vibarua) Wengine mito tunayotumia imefikia hatua inabidi tupangiane siku za kumwagilia [emoji23][emoji23] maana maji yamekua kidogo sana au labda uamke usiku sana. Na bei ya mazao kwa kweli haiendani na gharama za uendeshaji ona Nyanya mwaka huu, Pilipili hoho , Nyanya chungu afadhali Maharage yanatubeba.
Kwa nilivyowaza mimi Bustan naipumzisha yale mashamba nayarudisha kizamani nitatia samadi ya kutosha kisha yanakaa mpaka mwezi may ndo nayafufua tena. Vinginevyo hiki kilimo tutakichukia
Mkuu kabla hawajaja tekeleza huo mpango walipaswa kua na njia mbadala kwa wakulima.kabisa mkuu zinaharibu ardhi yetu ila sijui mamlaka haiwezi kusema hadharani!? maybe ni biashara za mabwana wakubwa..
hivi ile ya pale minjingu ni mbolea gani mkuu.Mkuu kabla hawajaja tekeleza huo mpango walipaswa kua na njia mbadala kwa wakulima.