carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,562
- 285,591
Umesomewa gazeti??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maandalizi🤝Kama nimekosea jukwaa samahanini sana, jioni ya leo nimekutana na mhalifu wangu aliyenitia hasara za hapa na pale.
Sasa kwenye kumwadhibu akawa ananichora tu, amerelax, halii, hacheki, haguni wala kutoa ishara yoyote kuashiria kipigo kinamwingia.
Hali hii imenikatisha tamaa.
Masimango hayaCha kumliza unacho? Toka lini kipigo cha bamia kikauma.mtwange na muhogo mzito mzito uone
Manyanyaso hayaCha kumliza unacho? Toka lini kipigo cha bamia kikauma.mtwange na muhogo mzito mzito uone
Si haba ninacho kama kidole gumbaCha kumliza unacho? Toka lini kipigo cha bamia kikauma.mtwange na muhogo mzito mzito uone
Kwanini mkuuManyanyaso haya
😂😂😂Mkuu piga banzi la sikioni kushoto kwa chini karibia na taya halafu ulete majibu
Ni ubaguzi wa hali ya juuKwanini mkuu
HahahaKama nimekosea jukwaa samahanini sana, jioni ya leo nimekutana na mhalifu wangu aliyenitia hasara za hapa na pale.
Sasa kwenye kumwadhibu akawa ananichora tu, amerelax, halii, hacheki, haguni wala kutoa ishara yoyote kuashiria kipigo kinamwingia.
Hali hii imenikatisha tamaa.
Oke okeJf inahitaji maombi
Picha iko wapi likidaka mawimbiUna uhakika antena ipo? Inadaka mawimbi vizuri??