Halima Kimwana ajichora tatoo ya Diamond kurudisha fadhira

Halima Kimwana ajichora tatoo ya Diamond kurudisha fadhira

Kulea mtoto na akafata maadili sawia ni kazi sana.
Wazazi wa siku hizi wana matatizo sana katika malezi.

"Nlikuwepo":bolt:
 

DADA wa hiyari wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Halima Kimwana amejichora tatuu ya jina la staa huyo na kudai anampenda na yupo tayari kufa kwa ajili yake.

Alisema ukaribu wake ni wa kawaida lakini yupo tayari kufa badala yake (Diamond).
“Nipo tayari kufa kwa ajili ya Diamond, nimechora tatuu ya jina lake mkononi kuonesha msisitizo, namkubali” alisema Halima.

kUNA TETESI NILIZISIKIA UMU JF KUWA HALIMA KIMWANA NDIO ANAMTAFUTIA DIAMOND WATOTOZ
 
Back
Top Bottom