Halima kimwana na Diamond..

Halima kimwana na Diamond..

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Juzi kati Diamond alimfanyia party ya kufa mtu dada mmoja ivi anafahamika kwa jina la kimwana mwanywele kwenye sherehe yake ya kuzaliwa, hawa watu sijui wana mahusiano gani, maana nilisikiaga kwa mda mrefu ukaribu wao ila sikubahatika kujua ukaribu wao unasababishwa na nini, kwa sababu najua siyo wapenzi wala hawana undugu wowote.
 
ukute ni wa kukuwadiana...

he he hujakosea utakuwa sheikh yahya wewe.Kimwana kuwadi wa domo na siku domo akikosa mwali wa kumrara halima aingia mzigoni kampangishia nyumba .
Tuwaache wararane!!
 
mmmh huyo mwanamke atakuwa sio mzima upstairs, yaani umkuwadie mtu halafu siku akikosa wewe mwenyewe unamuhudumia? wacha nife na umasikini wangu kujidhalilisha gani huko yarabi.
 
he he hujakosea utakuwa sheikh yahya wewe.Kimwana kuwadi wa domo na siku domo akikosa mwali wa kumrara halima aingia mzigoni kampangishia nyumba .
Tuwaache wararane!!

Duh kama ndo kazi hiyo tu inayowafany wawe pamoja,basi hatari,maan alisema kuna mambo wanasaidiana na wametoka mbali ndo maana wapo karibu sana
 
nyie mlisema Heaven on disert hadi anaogopa kuingia humu. maswali kama haya angetusaidia.
 
Last edited by a moderator:
Juzi kati Diamond alimfanyia party ya kufa mtu dada mmoja ivi anafahamika kwa jina la kimwana mwanywele kwenye sherehe yake ya kuzaliwa, hawa watu sijui wana mahusiano gani, maana nilisikiaga kwa mda mrefu ukaribu wao ila sikubahatika kujua ukaribu wao unasababishwa na nini, kwa sababu najua siyo wapenzi wala hawana undugu wowote.

samahani kama hutojali

wewe ni jinsia gani?
unaelimu gani?
unajishughulisha na nini mjini?
that's all
 
Teh teh akikupa jibu nistue

maana mkuu nimestuka jinsi alivyo interested na private issue za watu namna hii sijapata kuona mtu unaguswa na kufwatilia mambo ya watu namna hii aisee
 
samahani kama hutojali

wewe ni jinsia gani?
unaelimu gani?
unajishughulisha na nini mjini?

Kaka ukae ukijua,magazeti ya Shigongo yanapunguza nguvu za kiume.
that's all

Magazeti ya Shigongo yanapunguza nguvu za kume
 
maana mkuu nimestuka jinsi alivyo interested na private issue za watu namna hii sijapata kuona mtu unaguswa na kufwatilia mambo ya watu namna hii aisee

Kuna mwingine anaitwa Money Stunna
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom