warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Juzi kati Diamond alimfanyia party ya kufa mtu dada mmoja ivi anafahamika kwa jina la kimwana mwanywele kwenye sherehe yake ya kuzaliwa, hawa watu sijui wana mahusiano gani, maana nilisikiaga kwa mda mrefu ukaribu wao ila sikubahatika kujua ukaribu wao unasababishwa na nini, kwa sababu najua siyo wapenzi wala hawana undugu wowote.