Halima kimwana na Diamond..

ila Dada angu seriously hz tabia za umbea akionesha boyfriend wako utafurahi?

Hili ni jukwaa la watu maarufu sasa ulitaka aandikee habari za siasaa jamani mi ni warumi kipenzi changu mie jamani umenikatishaa raha mieee nawalaan wote waliomsababishaa apigwe ban
 
Hili ni jukwaa la watu maarufu sasa ulitaka aandikee habari za siasaa jamani mi ni warumi kipenzi changu mie jamani umenikatishaa raha mieee nawalaan wote waliomsababishaa apigwe ban

hahaha nimekupenda bure
 
Inji hii kuna waongo na sielewi hufikilia nn
mpaka kutunga uongo kama huu.
na kwa faida ya nani..
yaani halima kimwana ana mkuwadia nani?????duh
mmenishinda wana jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…