mtz one
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 4,284
- 1,221
Kwani kuna ubaya gani jaman shostii
haya nimekubali unalingine?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kuna ubaya gani jaman shostii
haya nimekubali unalingine?
Umenichekeshaaaa hayaaaa yaishe mtz one
yaani duh nilistaajabu sana kusikia ni mwanaume halafu akina Dada ndo wanamfurahia mambo yake haipendezi kwa kweli
ila Dada angu seriously hz tabia za umbea akionesha boyfriend wako utafurahi?
Hili ni jukwaa la watu maarufu sasa ulitaka aandikee habari za siasaa jamani mi ni warumi kipenzi changu mie jamani umenikatishaa raha mieee nawalaan wote waliomsababishaa apigwe ban
Ulitaka tukufurahie wewe,,,,,,,,,,,Dunia yako Chaguo Lako.............
hahaha nimekupenda bure
Yaan sina raha mieee mi stak unipende bure nipende kwa pesa
Inji hii kuna waongo na sielewi hufikilia nn
mpaka kutunga uongo kama huu.
na kwa faida ya nani..
yaani halima kimwana ana mkuwadia nani?????duh
mmenishinda wana jf