Halima Mchuka hatunae duniani


Inaelekea wewe ni Daktari wake, Asante kwa taarifa!
 
sasa ngoma mbona sio ugonjwa wa ajabu tena,kuan familia gani so far haijawahi kuguswa na ugonjwa huo?no it's like malaria and others,so mshkaji kuvunja ukimya na kutamka bila kuuma maneno inatia moyo kwamba sasa watu tumekubali hili tatizo ni sehemu ya maisha yetu

R.I.P. DA HALIMA.
 

KIPS: Kumbe elimu ya HIV and AIDS bado huijui......Nikuulize swali moja mwenye HIV akiwa anaendesha gari na akapata ajali na kufariki kifo chake kitaandikwa kimesabishwa na nini?
 
Mh kila mtu mashuhuri anapotutoka amekufa kwa ngoma?? hivi ndio ugonjwa huo pekee unaoondoa hawa watu duniani? Tusiwe wepesi wa kutoa judgement. Tumuombee alale pema peponi na sio kuanza mijadala ya kumzushia magonjwa.
 
RIP Mama Halima, binafsi nilikuwa naipenda kazi yako na hasa sauti yako wakati ukitangaza
 
Ni pigo na pengo kubwa kwa tasnia ya habari za michezo nchini.

Kwa niaba yangu na JF tunatoa pole kwa ndugu jamaa na marafiki kwa simanzi hii kubwa iliyotukumba.
Mungu awape faraja wafiwa na kumpa rehema ndugu yetu aliyetutangulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…