Halima Mchuka hatunae duniani

KIPS: Kumbe elimu ya HIV and AIDS bado huijui......Nikuulize swali moja mwenye HIV akiwa anaendesha gari na akapata ajali na kufariki kifo chake kitaandikwa kimesabishwa na nini?

Ifike wakati tubadirike wa jamani. Watu watajuaje ukimwi unatesa kisha unauwa kama wale wenye kufa na hayo maradhi tunaambiwa walikuwa wanaumwa kiharusi? kwani ngoma si kama magonjwa mengine tu kama malaria, kansa,gono kaswende na mengineyo?
 



Nahisi atakuwa huyu wa katikati aliyeshika simu nimejaribu kuoanisha sauti yake tamu na umbo lake.R I P Halima Mchuka.
 
Sisi tulikupenda sana lakini mwenyezi mungu amekupenda zaidi,

Bi Halima Mchuka aliyekuwa mtangazaji mkongwe wa TBC amefariki Dunia alfajiri ya 29/12 kwa ugonjwa wa kiharusi,inasemekana alianguka ghafla akiwa kazini na amefariki akiwa Mhimbili

R.I.P Mama yetu Halima Mchuka
 
Kipis, this is unethical!. Unamaanisha ndio mlikutana hapo Dar Group kwenye kupokea dose ya ARV?!. Acha uwongo!.

Kumsingizia marehemu kitu ambacho sicho, kunaweza kukusababishia laana kupitia karma, na laana ya marehemu ni mbaya jamani!.

RIP Halima Mchuka!.
 
Ifike wakati tubadirike wa jamani. Watu watajuaje ukimwi unatesa kisha unauwa kama wale wenye kufa na hayo maradhi tunaambiwa walikuwa wanaumwa kiharusi? kwani ngoma si kama magonjwa mengine tu kama malaria, kansa,gono kaswende na mengineyo?
Kipis, mimi ni mtu wa karibu na familia hii, sikuwahi kulisikia hili!. Hata kama nikweli, Jee ndio maadili hayo uliyofundisha kudisclose status ya mgonjwa!. Yaani unataka kumnyanyapaa hadi marehemu!.
 
Sasa nyie wanoko msije mkamuona mkuu wa kaya kwenye msiba mkaanza kulalama; huyu ni ndugu wa karibu wa Jakaya!! Bwana alitoa na Bwana ametwaa ,jina lake lihimidiwe. R.I.P. Halima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…