johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kama kifo chadema hakijafa kwa natural death Bali assassinated kwa makusudi yenye kutumia nguvu kubwa.Chadema ilishakufa, ni Basi tu wanakazana kama ma Zombie 😂😂😂
Hao ndio walikuwa wanang'ang'ania Nchi, wangechukua nchi ingekuaje?
Jogging lazima uwe na kibaliKama Chadema ni dhaifu hivyo kwanini Mbowe yuko jela mwezi wa tatu huu kwa kesi ya kutunga?
Kama Chadema ni dhaifu hivyo kwanini Bawacha kila wakifanya jogging mnatetemeka?
Kama Chadema ni dhaifu kwanini mnachoma ofisi zao kila siku?
Kama Chadema ni dhaifu kwanini mnaisema sema huko lumumba kila dakika?
Jogging sio maandamano, nayo yapo kisheria hayahitaji kibali zaidi ya ulinzi wa polisi.Jogging lazima uwe na kibali
Tena yaliyojaaKama chadema imekufa mbona kwenye chaguzi mnatumia mabegi meusi?
Tanzania ilikua ya Mwendazake iliyopinga na kuikana Covid. Hii ya Chifu Hangaya ya kupokea Johnson Johnson wakati sisi ni donor country ni kichekezho.Chadema ilikuwa ya Dr Slaa.
Hii iliyomfanya Gwajima kuwa mshenga wa kumleta EL chadema na baadae tena ikamfanya Amsterdam kuwa mwanamikakati wa kumpeleka Lisu Ikulu ni uharo mtupu.
Leo ndoto zako zimekuelekezea huko sio? Endeleaa kuotaKiukweli udhaifu wa CHADEMA ulianzia pale Balozi Wilbroad Slaa alipoamua kuachana na siasa za majukwaani.
Baadae Patrobas Katambi akaidhoofisha Bavicha kwa kuhamia chama dume CCM.
Halima James Mdee akapigilia msumari wa mwisho kwa kusepa na kijiji kizima cha Bawacha.
Mungu ibariki CHADEMA!
Hahahahaah this is my Sister sasaTanzania ilikua ya Mwendazake iliyopinga na kuikana Covid. Hii ya Chifu Hangaya ya kupokea Johnson Johnson wakati sisi ni donor country ni kichekezho.