Hiyo labda ama ni hisia tu ya
johnthebaptist au ni njia mojawapo ya kumuomboleza dhalimu mwendakuzimu.
- La kwanza la hakika ni kwamba aliyetaka kuia Chadema ndiye kafa na kuzikwa huku Chadema ikiendelea kudunda.
- La pili la hakika ni kwamba waliopanga kusherehekea kifo cha Chadema ndio bado wanaomboleza kumpoteza kiongozi wao.
- La tatu la hakika ni kwamba waumini wote waliohusika na mpango huo haramu kama johnthebaptist wamechanganyikiwa.
Thread kama hii ya
johnthebaptist ni uthibitisho tu wa jinsi walivyokumbwa na kiwewe na wanavyotaabika.