Halima Mdee ameondoka na Bawacha, Katambi aliondoka na Bavicha na sasa Chadema inasuasua!

Leo umeamka uko kwenye mwezi nadhani! Pole maana level ya iron inapungua katika hali hiyo na function of the brain follows suit!
 
Aliyechoka ni yule anayetumia madaraka yake kuzuia wenzake wasiongee kwasababu hana tena uwezo wakujibu hoja kwahiyo anatumia maguvu na hila zakudhoofisha washindani wake.
 
Wewe ukiwa kwenye mwezi brain yako inasimama!
Kwani naandika ujinga ? Kuna vipimo vya kuonesha kuwa kwenye mwezi na brain ikasimama 😀 😀 😀 😀 😀 ...Talk sense please, write sense please!
 
Mtasumbuka sana aisee ila ukweli ni kwamba kitu walichokosa chadema ni jeshi tu la kupambana na jeshi la ccm ila kama ni sera na hoja wana hazina ya kutosha kulisha Tz hii miaka 100!
 
Mwalimu Nyerere aliondoka na CCM, hiki kilichopo sasa ni genge la kihalifu linalotegemea mitutu ya bunduki kuendelea kutawala.
 
Sasa hivi chadema ndo inazidi kuwa strong kadri muda unavyosonga. Bawacha wako moto chini ya cpa catherine mpaka watu wanadhani halima hakiwepo kabisa. Bavicha ndo inazidi kupaa bila hata ruzuku. Ogopa sana chama ki achokuwa kwa kasi bila ruzuku mana yake watu wanajitolea na ipo mioyoni mwao. Siku kukiwa na fare na free election ndo utajua mziki wa chadema. Inawezekana hata samia mwenyewe anaipenda chadema ila hawezi onesha hadharani. What a party!!!!
 
 
Mleta mada nadhani unazungumzia matokeo ya siasa zilizoanzishwa na JPM. Alipofanya siasa za upinzani kuwa dhambi na uaini. Kuwa Chadema ikawa ni kukosa uzalendo. Alipozuia siasa na kuzifanya ni shughuli za uchaguzi tu. Alipoanzisha msema “upinzani unatuchelewesha”. Alipozuia mikutano ya ndani na nje ya Chadema. Hata Lissu alivopigwa risasi kwa lengo la kumuua!

Si bahati mbaya unayoyaona yametokea. Hakuna sehemu wala namna siasa zisizokuwa za CCM zinaweza kufanyika Tanzania.

Kwa sasa Chadema wako kwenye mode ya “bora uhai”. Mode hiyo huwa haidumu milele!!
 

..Katambi alikuwa baridi mno.

..Halima ni mjenga hoja mzuri, but ppl cant get past udume-jike wake.

..Bawacha wanahitaji kuongozwa na mwanamke mjenga hoja ambaye hana makandokando aliyokuwa nayo Halima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…