Halima Mdee ameondoka na Bawacha, Katambi aliondoka na Bavicha na sasa Chadema inasuasua!

Kwanini kuongelea kilichokufa, huwa kinakutokea kama popobawa?
 
Sawa mpuzi mmoja!!!
Sasa wambie chama chako "chama cha mabwanyenye" kiruhusu shughuli za kisiasa na kimwachie FM na kina Lissu & Lema a.k.a LL waje mshindane kihalali kama hamjajipupulia...Jingasana!!!
 
Wengi hatukujui kwa kukuona
Wengi hatuamini sifa ya kujuwa kusoma na kuandika inakubeba
Wengi tuna amini hata weye ni muhitaji wa katiba mpya.
Wengi tunajuwa weye unajuwa jinsi Halima Mdee anavyohangaika kurudì CHADEMA
WENGI TUNAHITAJI KATIBA MPYA
 
Tulia mkuu, CHADEMA IPO MOTO KULIKO JANA NAKWAMBIA
 
Reactions: BAK
Sipendi chadema ichukue nchi lakini existance yake ni muhimu kwaajili ya kuwaadabisha wanaojisahau.

Maana hata mwanamke akijijua ni yeye tu anaanza kiburi.
 
Chadema inasuasua hahahahahahah lakini kama ni kweli kwanini genge la wahuni wa maccm bado waogopa uchaguzi HURU na wa HAKI kupitia Katiba mpya na Tume huru? Acha wewe!!!! Muziki wa Chadema UNATISHA!!! tena nchi nzima.


 
Covid 19 wapo kma watoto yatima wasiojua kesho wataishije,mzee halima amesaulika n kupotea
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ingekuwa inasua sua mngewakamata Wanawake wa BAWACHA CHADEMA Wakifanya JOGGING?
Ingekuwa BAVICHA inasuasua Mngezuia Kongomano la KATIBA MPYA?
 
Kiukweli udhaifu wa CHADEMA ulianzia pale Balozi Wilbroad Slaa alipoamua kuachana na siasa za majukwaani.
Hata mimi niliachana na chadema tangu wakati huo, niliwaona ni wababaishaji tu.
Hao ndio walikuwa wanang'ang'ania Nchi, wangechukua nchi ingekuaje?
Wangegawana nchi kama mbwa mwitu wanavyogawana mawindo yao, kila na chake kadri ya uwezo wake wa kujikatia.
Asante Mungu kwa kutunusuru na janga hili 🙌👊👏👏
 
Kwanini kuongelea kilichokufa, huwa kinakutokea kama popobawa?
Hiyo labda ama ni hisia tu ya johnthebaptist au ni njia mojawapo ya kumuomboleza dhalimu mwendakuzimu.
  • La kwanza la hakika ni kwamba aliyetaka kuia Chadema ndiye kafa na kuzikwa huku Chadema ikiendelea kudunda.
  • La pili la hakika ni kwamba waliopanga kusherehekea kifo cha Chadema ndio bado wanaomboleza kumpoteza kiongozi wao.
  • La tatu la hakika ni kwamba waumini wote waliohusika na mpango huo haramu kama johnthebaptist wamechanganyikiwa.
Thread kama hii ya johnthebaptist ni uthibitisho tu wa jinsi walivyokumbwa na kiwewe na wanavyotaabika.
 
Hahahaaaa....... Jumaa kareem bwashee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…