johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Mbunge wa viti maalumu CHADEMA Halima Mdee amemuhoji AG ni Kwanini Mawakili wa selikali wana uwezo mdogo wa kuhoji athari tarajiwa wakati serikali inaingia mikataba mbalimbali.
Halima Mdee ametoa mfano wa mikataba wa Tanesco na Symbion.
Halima Mdee ameitaka serikali kuwapeleka shule Mawakili na Wanasheria wake
Alikuwa akichangia bajeti ya Nishati.
Source: ITV habari
Halima Mdee ametoa mfano wa mikataba wa Tanesco na Symbion.
Halima Mdee ameitaka serikali kuwapeleka shule Mawakili na Wanasheria wake
Alikuwa akichangia bajeti ya Nishati.
Source: ITV habari