johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Akumbuke katika kesi yake Mawakili wa serikali walienda kumpiga tafuMbunge wa viti maalumu CHADEMA Halima Mdee amemuhoji AG ni Kwanini Mawakili wa selikali wana uwezo mdogo wa kuhoji athari tarajiwa wakati serikali inaingia mikataba mbalimbali.
Halima Mdee ametoa mfano wa mikataba wa Tanesco na Symbion.
Halima Mdee ameitaka serikali kuwapeleka shule Mawakili na Wanasheria wake
Alikuwa akichangia bajeti ya Nishati.
Source: ITV habari
Hahaha......Akumbuke katika kesi yake Mawakili wa serikali walienda kumpiga tafu
Chadema haina wabunge wa viti maalum. Hao ni wabunge wa tume ya uchafuzi na mwenda kuzimu.Mbunge wa viti maalumu CHADEMA Halima Mdee amemuhoji AG ni Kwanini Mawakili wa selikali wana uwezo mdogo wa kuhoji athari tarajiwa wakati serikali inaingia mikataba mbalimbali.
Halima Mdee ametoa mfano wa mikataba wa Tanesco na Symbion.
Halima Mdee ameitaka serikali kuwapeleka shule Mawakili na Wanasheria wake
Alikuwa akichangia bajeti ya Nishati.
Source: ITV habari
Umewaambia kweli hawa mapimbi!Chadema haina wabunge wa viti maalum. Hao ni wabunge wa tume ya uchafuzi na mwenda kuzimu.
Acha kuihususha Chadema na takataka za hapo Kibanda umiza Cha Dodoma yanapo kusanyika hayo mazuzu.Mbunge wa viti maalumu CHADEMA Halima Mdee amemuhoji AG ni Kwanini Mawakili wa selikali wana uwezo mdogo wa kuhoji athari tarajiwa wakati serikali inaingia mikataba mbalimbali.
Halima Mdee ametoa mfano wa mikataba wa Tanesco na Symbion.
Halima Mdee ameitaka serikali kuwapeleka shule Mawakili na Wanasheria wake
Alikuwa akichangia bajeti ya Nishati.
Source: ITV habari
Masahihisho - Chadema haijawahi kuwa na mbunge wa viti maalum anayeiitwa Halima Mdee kwenye awamu ya 5 wala ya 6Mbunge wa viti maalumu CHADEMA Halima Mdee amemuhoji AG ni Kwanini Mawakili wa selikali wana uwezo mdogo wa kuhoji athari tarajiwa wakati serikali inaingia mikataba mbalimbali.
Halima Mdee ametoa mfano wa mikataba wa Tanesco na Symbion.
Halima Mdee ameitaka serikali kuwapeleka shule Mawakili na Wanasheria wake
Alikuwa akichangia bajeti ya Nishati.
Source: ITV habari
WatamnyoroshaAkumbuke katika kesi yake Mawakili wa serikali walienda kumpiga tafu
Ajue pia kuwa wangekuwa wazuri wa kuhoji hata wao wasingekuwa bungeni.Siyo kuwa siyo wazuri wa kuhoji ila huwa wanajitoa hufahamu kutokana na mazingira ya kazi zao.wao ni watu wa kuhitimisha tu ila wenye mikataba yao wao tayari wamemaliza.Mbunge wa viti maalumu CHADEMA Halima Mdee amemuhoji AG ni Kwanini Mawakili wa selikali wana uwezo mdogo wa kuhoji athari tarajiwa wakati serikali inaingia mikataba mbalimbali.
Halima Mdee ametoa mfano wa mikataba wa Tanesco na Symbion.
Halima Mdee ameitaka serikali kuwapeleka shule Mawakili na Wanasheria wake
Alikuwa akichangia bajeti ya Nishati.
Source: ITV habari
Wamteue yeye mwenyewe awe mwanasheriaMbunge wa viti maalumu CHADEMA Halima Mdee amemuhoji AG ni Kwanini Mawakili wa selikali wana uwezo mdogo wa kuhoji athari tarajiwa wakati serikali inaingia mikataba mbalimbali.
Halima Mdee ametoa mfano wa mikataba wa Tanesco na Symbion.
Halima Mdee ameitaka serikali kuwapeleka shule Mawakili na Wanasheria wake
Alikuwa akichangia bajeti ya Nishati.
Source: ITV habari
Tena siku nyingi snAjue pia kuwa wangekuwa wazuri wa kuhoji hata wao wasingekuwa bungeni.Siyo kuwa siyo wazuri wa kuhoji ila huwa wanajitoa hufahamu kutokana na mazingira ya kazi zao.wao ni watu wa kuhitimisha tu ila wenye mikataba yao wao tayari wamemaliza.
Anataka kurudisha umarufu uliopoteaMdee ameanza kuwa mropokaji tu wa mafisadi hakuna la maana analoongea.
Tanzania aiku renew mkataba wa Symbion wala kuwa na signed MoU.
Kesi ya Symbion ipo based on verbal agreement you can only argue that on stated claims; so basically one word against another hard to prove on any court.
Hizi kesi wanafungua bila ya utetezi wa serikali no one appeals, kipindi hiki cha serikari ya kifisadi wanalipana na kugawana juu kwa juu wajuavyo.
So kupotosha bunge kunaonyesha Mdee ni puppet wa hakina nani siku hizi.
Alikadhalika mkandarasi wa bwawa la Nyerere awezi badili design bila ya baraka za client (TANESCO) vinginevyo atashitakiwa; ni TANESCO ndio waliotaka short cut hata report ya CAG imeeleza hilo swala wazi.
If anything juzi Arab Contractors kalipwa hela fines inakupa picha nani anachelewesha mradi.
Nchi imerudi kwenye michezo michafu wazi asietaka kuona ni mnufaika tu na mfumo wa ufisadi; na Halima Mdee kwa kujua au kutokujuwa anatumiwa vibaya.
Nikusaidie kifupi tu ni kwamba hapo Halima Mdee kawaambia kuwa hawana Akili yaani ni 'Mapopoma' watupu.Mbunge wa viti maalumu CHADEMA Halima Mdee amemuhoji AG ni Kwanini Mawakili wa selikali wana uwezo mdogo wa kuhoji athari tarajiwa wakati serikali inaingia mikataba mbalimbali.
Halima Mdee ametoa mfano wa mikataba wa Tanesco na Symbion.
Halima Mdee ameitaka serikali kuwapeleka shule Mawakili na Wanasheria wake
Alikuwa akichangia bajeti ya Nishati.
Source: ITV habari