Halima Mdee amshukia vikali Mwanasheria mkuu wa Serikali, adai Mawakili wake wana uwezo mdogo wa kuhoji

Halima asijitoe akili,

Makampuni hayo hayaji hivi hivi na wansheria hawaamui tu kuwa wajinga bila sababu, wanajipenda na bado wanazipenda familia zao.
 
AMEANZA DHARAU wakati hao hao Mawakili wa Serikali WANAMTETEA MAHAKAMANI KUPINGA kubishana na UBUNGE FAKE?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
🤣🤣🤣watageukana tu. Andhani AG kamwekea mawakili dhaifu ili afeli
 
Huyu anatumia fedha yangu bure
Huoni kazi anayofanya Ni kubwa zaidi ya wabunge wengi na mawaziri wengi ambao wanakula fedha yako na hawana chochote wanachofanya Nchi hii zaidi ya kuitukuza serikali!
 
Suala hapa ni kama mwanasheria aliyefuzu daraja la kwanza ataona ajira Serikalini ina maslahi zaidi kwake kuliko sehemu nyingine? (Quality recruitment ipo kiwango gani?)

Sent from my ONEPLUS A5000 using JamiiForums mobile app
 
Ukome kuwaita wabunge wa CHADEMA
 
Anataka kuanza "kufuga mbwa" hata huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…