Wakati Lulu anafanya mambo ya kikubwa, aliachiwa kwamba ni mkubwa, na mwenyew alikiri EATV kuwa she is 18 yrs old. Sasa leo amepata na mabalaa ndipo umri unapokanwa na kuonekana mtoto.Halima, kama kweli unataka kumsaidia huyu binti, fanya hivyo hakuna anayekuzuia ila sio ufanye kwa kujitangaza na kujisifu as If huyo aliyefariki naye si mtu na hana ndugu wala jamaa. Watu wameumizwa na huu msiba, nadhani ufike wakati wa kuacha kutafuta umaarufu kupitia mambo mazito kama haya. . Na ujue pia sio kila mtu amefurahia kitendo hicho, uelewe pia hata huyo Kanumba nayeye ana ndugu na jamaa, kama angekuwa hoi hosp lazima ungesikia nduguze wakihangaika ila kwakuwa ameshafariki ndo unaona kimya. Kikubwa iachiwe mahakama ifanye kazi yake ili haki itendeke,kama amehusika haya kama hakuhusika basi . Hakuna anayetaka Lulu aonewe ila haki itendeke , tumekuwa tukisoma msg zenu eti she is only 17 yrs na umeona cheti chake cha kuzaliwa, ...so what?? wewe sio hakimu, kaa kimya achia watu wafanye kazi yao .!!