Mlimsikia huyu dada lakini.............??????????????
Un-vote
"CHADEMA yageuza kifo cha Kanumba kuwa vita kati yao na CCM" - Mange
Angalia picha mwisho wa stori kuona tweet za baadhi ya wabunge wa CHADEMA
Wow, just unbelievable
..yani nimekaa hapa nasoma hizi tweets za hawa wabunge wa Chadema nimetamani hata kulia, I mean how the hell did such narrow minded people even get elected??
I mean when did this turn into a popularity contenst kati ya CCM na CHADEMA? Eti kisa JK kaenda msibani jana? Guys JK apart from being the head of state yeye alikuwa anafahamiana na Kanumba vizuri tu yani.
Eti wabunge wa Chadema wameamua wao kazi yao itakuwa ni kumtoa LULU jela, kumpa msaada wa kisheria wakidai kwamba LULU ni mtoto
Eti na Zitto ana tweet kabisa kwamba he has a copy of Lulus birth certificate showing kwamba she is 17 and therefore a child, and ana brag kwamba keshaongea na wakubwa wa polisi na kwamba watamsaidia Lulu
na Halima Mdee anadai kwamba yeye ni mwanasheria so keshaenda kumuona Lulu kama mwanasheria na yoyote anaeweza kuchanga atume pesa kwenye number yake ya simu
WTF???????
Eti some Chadema followers wana tweet kwamba nyie si mnaenda msibani sie tunaenda polisi kumtoa LULU
.
Zitto Kabwe, Halima Madee and the rest of Chadema MPs naomba niwaambieni hili. YOU ARE ON THE FREAKING WRONG SIDE
...
Hivi hata kama mnataka kumsaidia Lulu dont u think its insensitive kwa familia ya Kanumba na watanzania kwa ujumla kuongelea hili hadharani? Especially sababu Kanumba hata bado hajazikwa? Hivi Zitto au Halima Kanumba angekuwa ni ndugu yenu would you be doing the same thing?
Why am I telling you you are on the wrong side? Kanumba is Tanzanias sweetheart, he is loved, kusini na mashariki mwa Tanzania, people are angry and they want to see justince, do you think nyie kujiweka mbele mbele kumtoa the ONLY PERSON, who can tell Tanzanians what happened to Kanuamba will win you any votes in 2015? Tanzanians won't forget, I can promise you that?
Zitto huko Kigoma, wananchi wako hawaangalii movie ingine yoyote zaidi ya movie za Kanumba, unadhani kusimama kidete kumsaidia Lulu is the way to go?
We all want to see justince done
whatever happened, hakuna anaesema LuLu kamuua Kanumba but she is the last person to see him alive, let her tell us what happened to him. Nyie mnavyompa ma confidence haya mnadhani atakuwa mkweli? Mnavyompa moyo kuwa yeye ni mtoto so hawezi kuface sheria kama mtu mzima mnadhani atasema anachokijua?
Mie I strongly believe she is not a killer, she didnt mean to kill him, but somehow I belive she was used unknowingly
..
Zitto unadai una birth certificate ya Lulu, birth certificate bongo????? Kama unataka dare any u-turner humu and by tomorrow evening they can produce an original birth cerficate from RITA saying that Lulu is 30 yrs old
Umeangalia hizo video hapo chini za LULU mwenyewe akidai she is 18? And that was last yr.which makes her 19 this yr, why would she lie about this? Do you know she threw a huge birthday bash last yr for her 18th birthday???
Halima Mdee you are a lawyer so naamini unaijua sheria zaidi yangu, unavyosema kuwa Lulu ana majeraha una maanisha nini?kwamba Kanumba alimpiga? unajua kwamba mdogo wa kanumba anashangaa kusikia kwamba Lulu ana majeraha? CHADEMA BE CAREFUL BEFORE ATTEMPTING TO TURNISH KANUMBA'S IMAGE FOR THE SAKE OF KEEPING YOUR NAMES IN THE MEDIA........
CHADEMA, mnapoteza credibility kwa wananchi. Watanzania just lost their sweetheart,nyie mmekalia kupigana vita na CCM
not everything should become political jamani
.this is too big for you.
Let the police do their work.
Also naoa mna mention sana Jokate kwenye tweets zenu na kumshukurua kwa msaada wake kwa Lulu
Jokate mdogo wangu dont let stupid girl fights allow you to let yourself be used by greedy politicians. Just because Wema anashinda kwenye msiba wa Kanumba doesnt mean na wewe ni lazma ukashinde Salender na Lulu
#just saying
Wabunge wa Chadema mmenisikitsha mnooo.....is this why mlichaguliwa kwenye majimbo yenu? lol?