Halima Mdee badala ya kujibu hoja ya Mnyika kuhusu Wenyeviti wa PAC na LAAC, yeye amtusi Mnyika na CHADEMA

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
“Ni MUHIMU sana KUJIANDAAA kabla ya kufanya CHAMBUZI za CAG. Ukiwa haujajipanga vyema, unaweza jikuta unaongea UPUUZI. Na Mwenye DHAMANA akiongea UJINGA , anaidhalilisha TAASISI aliyopewa DHAMANA kuiongoza. Ushauri wa BURE,CAG ameongea mambo makubwa na mazito. Do your HOMEWORK”. Halima Mdee.

11215006-C62E-40EA-9C92-4A653D8D865A.jpeg
 
Duh

Halima Mdee anachokisema J J Mnyika ni kwamba nyie mmekalia kuti kavu hapo bungeni sasa Kadogo akiamuwa kuwadakisha mtakataa kweli kupokea mzigo ilhali kesho yenu hapo bungeni hamuijui?!
 
“Ni MUHIMU sana KUJIANDAAA kabla ya kufanya CHAMBUZI za CAG. Ukiwa haujajipanga vyema, unaweza jikuta unaongea UPUUZI. Na Mwenye DHAMANA akiongea UJINGA , anaidhalilisha TAASISI aliyopewa DHAMANA kuiongoza. Ushauri wa BURE,CAG ameongea mambo makubwa na mazito. Do your HOMEWORK”. Halima Mdee.

View attachment 2584422

Kuna chat moja ujaweka, kabla ya hiyo
 
“Ni MUHIMU sana KUJIANDAAA kabla ya kufanya CHAMBUZI za CAG. Ukiwa haujajipanga vyema, unaweza jikuta unaongea UPUUZI. Na Mwenye DHAMANA akiongea UJINGA , anaidhalilisha TAASISI aliyopewa DHAMANA kuiongoza. Ushauri wa BURE,CAG ameongea mambo makubwa na mazito. Do your HOMEWORK”. Halima Mdee.

View attachment 2584422
MWANAMKE KUWA MSALITI NI HATARI SANA
 
“Ni MUHIMU sana KUJIANDAAA kabla ya kufanya CHAMBUZI za CAG. Ukiwa haujajipanga vyema, unaweza jikuta unaongea UPUUZI. Na Mwenye DHAMANA akiongea UJINGA , anaidhalilisha TAASISI aliyopewa DHAMANA kuiongoza. Ushauri wa BURE,CAG ameongea mambo makubwa na mazito. Do your HOMEWORK”. Halima Mdee.

View attachment 2584422
Halima alikuwa na thamani kipindi yup cdm kwa wenye akili
 
cdm ya thamani ilikuwa enzi za Dr.slaa.alipoondoka mzee makini slaa Basi Yule wa kudumu akakivuruga vuruga kwa Mambo yake ya umachinga!! kwa Sasa imebaki jina tu lkn empty kabisa!
 
Back
Top Bottom