You cannot please all the people all the time.Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee amesema imekuwa utamaduni wa Serikali kuwafukuza Wamachinga kwenye maeneo yao ya biashara na kuwapeleka pembezoni, na maeneo ambayo sio wezeshi kufanya Biashara.
Amesema, "Kuthibitisha Serikali haijali kundi hili la Wafanyabiashara wadogo hata kwenye Mpango ambao Waziri umesoma jana hakuna maeneo
mtu ambaye hana chama ameingiaje bungeni. hii serikali haisikii lolote ndo hata yeye yupo bungeni.Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee amesema imekuwa utamaduni wa Serikali kuwafukuza Wamachinga kwenye maeneo yao ya biashara na kuwapeleka pembezoni, na maeneo ambayo sio wezeshi kufanya Biashara.
Amesema, "Kuthibitisha Serikali haijali kundi hili la Wafanyabiashara wadogo hata kwenye Mpango ambao Waziri umesoma jana hakuna maeneo ambayo yanazumgumza tutawapanga vipi"
Akimjibu, Waziri wa Fedha amesema Mpango huo ni suala la Sekta ambao utafanywa na Serikali za Mitaa. Ameongeza kuwa, Mpango bado unaendelea kuchambuliwa.
Chanzo: BUNGE
Mbunge Wa VITI MAALAMU wa CHAMA GANI.?Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee amesema imekuwa utamaduni wa Serikali kuwafukuza Wamachinga kwenye maeneo yao ya biashara na kuwapeleka pembezoni, na maeneo ambayo sio wezeshi kufanya Biashara.
Amesema, "Kuthibitisha Serikali haijali kundi hili la Wafanyabiashara wadogo hata kwenye Mpango ambao Waziri umesoma jana hakuna maeneo ambayo yanazumgumza tutawapanga vipi"
Akimjibu, Waziri wa Fedha amesema Mpango huo ni suala la Sekta ambao utafanywa na Serikali za Mitaa. Ameongeza kuwa, Mpango bado unaendelea kuchambuliwa.
Chanzo: BUNGE
Nakubaliana na wewe. Hili ni suala la kikanuni. Hakuna haja ya kubembeleza katika hili otherwise itakuwa serikali inapangiwa ifanye nini which is very wrong. Kwa sas ukipita baadhi ya mitaa wamerudi utadhani ilikuwa nguvu ya soda. La msingi wapewe sehemu rasmi zilizotayarishwa ili tuondokane na hili once and for allYou cannot please all the people all the time.
Ili kuweka mji safi wamachinga waondoshwe na waende sehemu walopangiwa.
Na ikiwa wamachinga wote wataondoshwa bila ya ubaguzi au upemdeleo na kupelekwa sehemu hakuatakuwa na kelele.
Lakini serikali haiwi madhubuti katika hili. huwa inawoga au inajaribu. Na haiwi wakuendeleza hizi sharia.
Kila kitu kinataka mda. watu wakisha zowea hiyo sehemu mpya biashara zita kuja juu wenyewe.
Serikali iwe kali na ismunee mtu huruma .