Halima Mdee: Kisarawe imeshindwa kukusanya Tsh. Bilioni 6 ya Ushuru kutoka Yapi Merkez

Halima Mdee: Kisarawe imeshindwa kukusanya Tsh. Bilioni 6 ya Ushuru kutoka Yapi Merkez

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Mbunge Halima Mdee akizungumza wakati wa mjadala wa Taarifa za Kamati ya PAC na LAAC kuhusu Ripoti ya CAG katika Mkutano wa 17 wa Bunge la 12 ulioanza leo Oktoba 29, 2024 na kutarajiwa kuendelea hadi Novemba 8, 2024, amesema mapato Tsh. Bilioni 61.15 hayakukusanywa katika vyanzo muhimu

Amesema Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe ndio imeonekana kuwa sugu katika suala hilo kwa kushindwa kukusanya Tsh. Bilioni kutoka kwa Mkandarasi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR, Yapi Merkezi.
 
Back
Top Bottom