Mbunge Halima Mdee akizungumza wakati wa mjadala wa Taarifa za Kamati ya PAC na LAAC kuhusu Ripoti ya CAG katika Mkutano wa 17 wa Bunge la 12 ulioanza leo Oktoba 29, 2024 na kutarajiwa kuendelea hadi Novemba 8, 2024, amesema mapato Tsh. Bilioni 61.15 hayakukusanywa katika vyanzo muhimu
Amesema Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe ndio imeonekana kuwa sugu katika suala hilo kwa kushindwa kukusanya Tsh. Bilioni kutoka kwa Mkandarasi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR, Yapi Merkezi.