Halima Mdee kushawishi Covid-19 kurudi CHADEMA, je Wasamehewe na Chama au Wananchi?

Mimi naommba kufahamishwa nafasi ya mwenyekiti wa bawacha taifa iliishajazwa au bado?
 
Dah wanakula kiulaini tuu
 
Wakirudishwa ndiyo mwisho wa Chadema. Wakirudi Chadema ndiyo utakuwa mwisho wa Chadema.
 
Wendelee kula walikoenda kuchezagaaa🤓
 
Cheers!
Kama hao watatu wamegoma sasa CHADEMA warudishe kesi kwa wananchi.

Lissu atoe tamko!
Mkuu kwa mazingira ya kuwepo kwao Bungeni kwa wakati ule ni dhari uligubikwa na nguvu za Serikali; hivyo CHADEMA walishughulikie suala hil kwa kuzingatia mwenendo wa kiutawala wa wakati ule na namna walivyopatikana. Aidha kuomba msamaaha ni moja ya Mhusika kutambua kosa lake. NB: Wanachama wengine na viongozi wa Chama walikimbia Nchi.
 
Sawa Mkuu, lakini sio wote.
 
Wakirudishwa ndiyo mwisho wa Chadema.
Wakirudi Chadema ndiyo utakuwa mwisho wa Chadema.
Mbowe kashikilia uzi, CCM wanataka wachomeke mwenyeki awe kiongozi wa Baraza kuu alafu awarudishe UVIKO kutoka huko waliposema majuzi walipo.
 
Infact JIWE ndio alitumia misuli kuwaingza na wapo kwa nguvu ya jiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…