Uchaguzi 2020 Halima Mdee, kwa hili utatusamehe kwa kweli...

Uchaguzi 2020 Halima Mdee, kwa hili utatusamehe kwa kweli...

Traffic JF

Senior Member
Joined
Jul 5, 2020
Posts
136
Reaction score
22
Taarifa za uhakika na za kweli nilizozipata ni kwamba Halima Mdee alikuwa hajajiandaa na hakuwa tayari kutuwakilisha sisi wananchi wa Kawe kama mbunge wa kuchaguliwa.

Ndio maana kwenye vikao vya ndani vya chama ilibidi Mwenyekiti Mbowe na katibu Mnyika wambembeleze sana na kumuomba afute maamuzi yake hayo.

Hii ilitokana na yeye mwenyewe kujitathimini na kuona hana cha maana cha kutuambia sisi wananchi wa Kawe na tukamuelewa kwa kuwa ahadi zote alizozitoa kwa miaka kumi yote hamna hata jambo moja lililokamilika. Ndo maana akaona ni heri akimbilie kwenye viti maalumu ili asiwe na mzigo wa kutuwakilisha sisi wananchi.

Nimejiuliza tu kama mtu hakuwa na utayari hadi kalazimishwa kutuwakilisha wananchi tuna uhakika gani na ahadi zake anazozitoa kwa sasa kama tu kwa miaka kumi alishindwa na alikuwa hajalazimishwa.
 
Ninaunga mkono hoja kwasababu inaonekana alikuwa amekubali matokeo kuwa ameshindwa
 
Kama mtu hakuwa tayari kwa hiari yake atawezaje kuleta maendeleo hii sio sawa kabsa inabidi tuchague kiongozi ambaye yuko tayar kufanya kazi bila kulazimishwa
 
Halima hukuwa tayari kututetea sisi wanaKawe ndiyo maana hukutana kugombea sasa wanaKawe tutakupaje kura zetu mtu ambaye hakuwatari kwaajili yetu
 
Halima kawe alishaitosa miaka mingi Sana Ila yupo yupo tu
 
Yaani mdee huna lako hapa kawe kwa sababu wewe ni mzushi kabisa unataka uje ututapeli tena Kawe
 
Halima alikuwa anafahamu alichotutendea wana Kawe ndiyo maana hakutaka kabisa kugombea tena na nibora asingegombea tu huyu tapeli.
 
kwakutoka moyoni huyu dada atuachetu maana hatufai hata kidogo wana Kawe kwanza alikua hataki kugombea sasa tunashanga kipele gani kilicho muwasha mpaka anatuletea shida kawe
 
Hizi I'd ni so lovely! Unaweza kukuta mimi ni mchangiaji wa tatu kwenye huu uzi!

Uzi wowote wa kumponda Halima lazima uwe na I'd mpya pamoja na asilimia 99 ya wachanguaji.
Ufufuo na uzima hoyeeeeeee
 
Mpaka sasa Halima huaminiki tena Kawe kwanza umelazimishwa kugombea tena jimbo la Kawe je utatuaminishaje kuwa ahadi zako zitakuwa za kweli
 
Halima alikataa kuendelea na kiongozi kwasababu alijua kwa vyovyote vile tusingempa ndio maana aligombea nafasi zote mbili ubunge na viti maalum
 
Huyu kweli tapeli baada ya kupiga hela za wananchi kwa miaka 10 akataka kuingia mitini aisee huyu bibi kiboko.
 
Sasa kama mtu unajua una shindwa na hauna uwezo wa kuwatetea wananchi wako utapata wapi nguvu ya kugombea tena
 
Karibu kata zote hali n mbaya ulifahamu kabsa haujafanya chochote ndo maana haukutaka kurudi ulingoni na ulifanya yote hayo kwakuwa ulijua hautarudi tena sasa tutakufundisha adabu wanakawe tumejipanga mwaka huu hutoboi yan
 
Sauti zege unataka kuchukuwa tena hela za miradi yetu huku Kawe tumekustukia hatutakupa kura hata moja
 
Halima alishagundua hana nguvu wala uwezo Ila chama kimemlazimisha kufanya hivyo je atawezaje kutuongoza wakati hayupo tayari!

Na kuonyesha kuwa hana uwezo ni kitabu alichotoa kuonyesha utendaji wake kimajaa miradi hewa
 
Halima unapoteza muda wako bure na unajichosha maana wanakawe hawana muda wa kusikiliza Sera zako zisizo na maana yoyote, ulishashindwa kuifanya kazi yako hapo awali.
 
Back
Top Bottom