Uchaguzi 2020 Halima Mdee, kwa hili utatusamehe kwa kweli...

Uchaguzi 2020 Halima Mdee, kwa hili utatusamehe kwa kweli...

Subirini muone sasa, hata kwa bao la mkono Gwajima hapiti...hata vyombo vyote vya usalama vihamie Kawe Gwajima hapiti.
Waislam wakatoriki wote jimboni kawe wapo na Halima mdee hawataki kumsikia Gwajima hata kidogo
 
Jamani mbona mnapoteza muda kuwajibu hao misukule? Angalieni wamejiunga liniJF. Hivi watu wanaoamini Gwajima anaombea wafu mpaka wanafufuka, unadhani ni timamu hao?
Kwa sasa ili udumu CCM inakubidi ujitoe fahamu kwa 100%
 
Fenerbahce Samatta
IMG-20201003-WA0072.jpg
 
Yaani mdee huna lako hapa kawe kwa sababu wewe ni mzushi kabisa unataka uje ututapeli tena Kawe
We kilaza sema tu umenasika na ahadi hewa ya kupelekwa jimbo hewa huko Marekani!
Sisi wana Kawe wenyewe hatuwezi tukampa atuwakilishe mtu anayedhihaki dini za wengine, mzinzi wa wazi wazi na mropokaji kama Gwajima.

Kafanyeni kikao kingine mlete ushuzi mpya!
 
hakuna lolote kawe zaid ya vumbi.mim sina chama ila naumia kuona Kawe kuanzia msiktin hapa kwa Londa mpka kulee Nida et hakuna lami,wakati kawe ni middle income earners!! beach Picolo ni nzuri ipo hovyo hovyo.Tunataka kwanza Huyu dada apumzike tuone tulikwamia wapi! kawe inashindwaje kuwa mji wa kiutalii?ni simple logic hata mim nisiye na chama naelewa unapokosa connection hutakaa muelewane na wazir na Rais. Huyu dada kufoka foka tu
 
Taarifa za uhakika na za kweli nilizozipata ni kwamba Halima Mdee alikuwa hajajiandaa na hakuwa tayari kutuwakilisha sisi wananchi wa Kawe kama mbunge wa kuchaguliwa.
Ndio maana kwenye vikao vya ndani vya chama ilibidi Mwenyekiti Mbowe na katibu Mnyika wambembeleze sana na kumuomba afute maamuzi yake hayo.

Hii ilitokana na yeye mwenyewe kujitathimini na kuona hana cha maana cha kutuambia sisi wananchi wa Kawe na tukamuelewa kwa kuwa ahadi zote alizozitoa kwa miaka kumi yote hamna hata jambo moja lililokamilika. Ndo maana akaona ni heri akimbilie kwenye viti maalumu ili asiwe na mzigo wa kutuwakilisha sisi wananchi.

Nimejiuliza tu kama mtu hakuwa na utayari hadi kalazimishwa kutuwakilisha wananchi tuna uhakika gani na ahadi zake anazozitoa kwa sasa kama tu kwa miaka kumi alishindwa na alikuwa hajalazimishwa.
ka video basi akiwa ana bembelezwa mbowe
 
Hela kitu mbaya
 
Back
Top Bottom