Wana- kawe bado tunamuhitaji Halima...Gwanjima hafai.....ameshindwa kuleta maendeleo kanisani kwake....miaka yote waumini wanaabudu kwenye mabanda...jua joto lote lao....sadaka kaenda kununua helkopta.... mbaguzi kidini....mbaguzi kikabila....kigeugeu....hapana kwa kweli.