Azizi J Hamad
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 442
- 230
Tuanzie hapa,Jinga kabisa wewe ndio umepanic msukule, wapumbavu waliokaririshwa, ufahamu duni pekee ndio utawakuta wakiimba katumwa na beberu, myopic mapumbavu pekee narudia.
Nipe mfano mmoja wa beberu na definition ya beberu, msukule huna zaidi ya kusema nchi za magharibi ambazo ndio partners wa maendeleo. Pathetic fool unaelewa?
Mambo yepi yaliyofanywa na CCM ambayo hayakufanywa na CCM kwa miaka 59? Misukule ya CCM kama wewe utakuwa convinced.
Flyovers Ethiopia ziko zaidi ya Tanzania
SGR mradi mkubwa zaidi ya Tanzania
Ndege zaidi ya Tanzania
Wana mradi mkubwa wa umeme megawatts 9000
Lakini hakuna maendeleo ya watu ndio kila mara wanapita kwenda SA kutafuta maisha bora.
Msukule niambie mambo makubwa yaliyofanywa nikujibu
Misukule nyinyi ni wapumbavu, na misukule inapatikana Lumumba kwa kuwa wewe ni msukule basi ni wa Lumumba. Period!
Kuhusu maana halisi ya beberu nimekwambia rudi darasani.
Suala la miradi ya kimakakati uliyoizungumzia na kutolea mfano wa nchi ya ethiopia, not valid with relevancy to Tanzani nchi inaweza ikawa na miradi ya kimkakati lakini kama hakuma utuli na amani katika eneo hilo ni useless, hivyo huwezi kufanya comparative analysis kwa namna hiyo.
Mambo yaliyofanywa na CCM ambayo hayakufanywa kwa miaka 59 ni mambo mengi ambayo yanatupa picha halisi wapi Tanzania tunaelekea.
Mathali suala la kusimamia vizuri namna bora ya extraction of minerals katika Nchi yetu ni suala linalotupa tafakuri jadidi ya juu ya wapi Tanzania tunaelekea. Leo hii Pato la Taifa limekuwa likiimarika siku hadi siku