bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 9,530
- 20,988
Mpaka sasa halima huaminiki tena Kawe kwanza umelazimishwa kugombea tena jimbo la Kawe je utatuaminishaje kuwa ahadi zako zitakuwa za kweli
Basi hatuna haja ya kumsikiliza mtu ambaye alishatuangusha, sikio letu lote lipo kwa Gwajima
kwakutoka moyoni huyu dada atuachetu maana hatufai hata kidogo wana Kawe kwanza alikua hataki kugombea sasa tunashanga kipele gani kilicho muwasha mpaka anatuletea shida kawe
Halima alikuwa anafahamu alichotutendea wana Kawe ndiyo maana hakutaka kabisa kugombea tena na nibora asingegombea tu huyu tapeli.
Yaani mdee huna lako hapa kawe kwa sababu wewe ni mzushi kabisa unataka uje ututapeli tena Kawe
Halima kawe alishaitosa miaka mingi Sana Ila yupo yupo tu
Kama mtu hakuwa tayari kwa hiari yake atawezaje kuleta maendeleo hii sio sawa kabsa inabidi tuchague kiongozi ambaye yuko tayar kufanya kazi bila kulazimishwa
Move to recycle bin [emoji706]Hata mimi ningekuwa yeye nisingetaka kugombe tena miaka kumi yote haujafanya kitu unaenda kuwaambia nini wananchi wako