Hata wakulima wa korosho na mbaazi wanaijua vizuri serikali ya Rais MagufuliUkitaka kujua watu wanasemaje kuhusu hii serikali ambayo imefanya tuwe donor country nenda kawaulize wastaafu watakupa majibu sahihi.
Ila wkt unawauliza hayo uwe umekaa distance ya 10m,usiniulize kwanini.
Chadema kwa uzushi ata shetani anawashanga,uzuri watanzania waneshawaona mambumbumbu
Umeonae! Nina bosi wangu ana miezi sita ameataafu anakula pensheni yake sasa hivi. Tatizo wao hawaendi site. Wanadanganywa kama Mch. Msigwa!Chadema kwa uzushi ata shetani anawashanga,uzuri watanzania waneshawaona mambumbumbu
Aibu kubwa Wazee wamestaafu kwa kulitumikia Taifa kwa uaminifu mkubwa leo wanahangaika kudai haki zao halafu wewe unaingiza ujinga wako kwenye jambo la msingi utoto huo
Chadema kwa uzushi ata shetani anawashanga,uzuri watanzania waneshawaona mambumbumbu
Ndio maana wako bussy kuua upinzani ili wanachi wasiwe na mbadala ingawa wanajidanganya
Mwenye macho haambiwi "Ona". Magofu yale umeyaona? Ma-trillion ya shillingi yameteketea nawe wasema uzushi. Haya bwana!Chadema kwa uzushi ata shetani anawashanga,uzuri watanzania waneshawaona mambumbumbu
Baada ya hapo ndiyo wastaafu wataanza kulipwa stahiki zao??
Kwa falsafa ya "existence of opposites" upinzani katika jamii hai ni lazima. Kwa hiyo upinzani hautakufa milele.Ndio maana wako bussy kuua upinzani ili wanachi wasiwe na mbadala ingawa wanajidanganya
...πππ... Wastaafu wamepigika mno awamu hii wengi wana madeni kibao tu.Ukitaka kujua watu wanasemaje kuhusu hii serikali ambayo imefanya tuwe donor country nenda kawaulize wastaafu watakupa majibu sahihi.
Ila wkt unawauliza hayo uwe umekaa distance ya 10m,usiniulize kwanini.
Acha kabisa mkuu na wala jamaa hawana habari sanasana kila wakipata nafasi ya kuongea utasikia wanaongelea mamiradi makubwa huku wakijisifu wanaitekekeza kwa kutumia fedha zetu za ndani....πππ... Wastaafu wamepigika mno awamu hii wengi wana madeni kibao tu.
Na uzuri ni kwamba Mbowe akiondoka na hela za kuwalipa wastaafu zitapatikana kwa wingi maana inaonekana mbowe ndiye amezuia pesa hizo.Mkuu una hoja ya uhakika. Mbowe angetoka mwaka huo akaruhusu damu mpya asingekuwa anapata shida hizi. Mwaka jana aliogopa kutoka kwa sababu aliona akitoka watasema anakimbia baada ya kuona chombo kinaenda mrama; akajiapiza kwamba wacha kimfie tu. Kweli naona CHADEMA kinakata roho mikononi mwake.
CHADEMA ilikuwa na historia nzuri ya kurithishana madaraka kuanzia Mzee Mtei na Bob Nyanga Makani. Pia akina Mzee Brown Ngwilulupi. Alivyoingia Mbowe sijui kabadili Makamo Wenyeviti wangapi? Makatibu wangapi lakini YEYE YUPO! Kamkuta Kabourou, kaondoka yeye yupo! Kaja Slaa kaondoka Mboqe yupo! Kaja Mashinji katoka Mbowe yupo!!! Chacha Wangwe, kaja kaondoka; MBOWE YUPO! Mzee Arfi kaja kaondoka, MBOWE YUPO! Kaja Prof Safari kaondoka, MBOWE YUPO!! Lowassa kaja kaondoka, Mbowe yupo! Sumaye kapita, Mbowe YUPO!
Kama Mbowe angeheshimu Demokrasia ndani ya Chama kama ilivyoasisiwa na waasisi wa Chedema kwa ajili ya maendeleo ya nchi kupitia upinzani makini leo Chadema ingekua chini ya Zito Zuberi Kabwe kijana asiye na chembe ya uoga.Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa CHADEMA ndiyo anayezuia serikali ya awamu ya tano isiwalipe wastaafu stahiki zao?
Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa CHADEMA ndiyo kilichosababisha serikali ya awamu ya tano kupandisha makato ya bodi ya mikopo kutoka 8% to 15%?
Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa CHADEMA ndiyo kinachosababisha ongezeko la mafukara wengi katika taifa eeh ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya ndiyo majibu ya maswali yangu hapo juu ?Kama Mbowe angeheshimu Demokrasia ndani ya Chama kama ilivyoasisiwa na waasisi wa Chedema kwa ajili ya maendeleo ya nchi kupitia upinzani makini leo Chadema ingekua chini ya Zito Zuberi Kabwe kijana asiye na chembe ya uoga.
Awamu ya Tano ingekua na wakati mgumu sana kwa wananchi.
Hayo uliyoyataja yamesababishwa na serikali yenyewe lakini watanzania hawaoni pa kukimbilia mana Tegemeo lao lilikua ni Chadema na Chadema imekosa uongozi wenye nia ya dhati kulikomboa Taifa hili.
Sasa watu wanaona ni bora upinzani ubaki ndani ya CCM mana huko wanawatumia vizuri wale wenye maono makubwa Toka upinzani.
Leo hii Tundu Lisu akirudi CCM atakua na nafasi kubwa ya kuwa waziri wa Katiba na Sheria au Mwanasheria mkuu wa serikali na kulisaidia Taifa letu kuliko kukaa kwenye Chama kinachoendesha mambo yake kama CCM au kwa ubaya zaidi.
Mbowe alikua na nafasi kubwa ya kuivuruga CCM endapo angejenga Demokrasia ndani ya Chama chake.
Kukubali Demokrasia ndani ya Chama au serikali ni jambo gumu sana na linahitaji na linahitaji kujengwa kuanzia ndani ya vyama ambavyo vinategemewa kuunda serikali .
Sasa He,ndani ya Chadema kuna Demokrasia ?
Hivi Mbowe anaona hasara gani kuwaachia wenzake baada ya muda wake kuusha Mara ya nne sasa?
Hivi angewashukuru watanzania na kuwaomba waendelee kupigania Demokrasia ingekua na tatizo gani?
Angeimarisha chaguzi huru ndani ya Chama mana huko ndiko kipimo cha serikali ya Chedema kilipo lingekua ni jambo LA kuigwa sana.
Demokrasia ina gharama kubwa sana ikiwa ni pamoja na kuachia madaraka wakati bado mtu anayapenda au wananchi bado wanampenda.
Kupendwa kwa Mbowe na baadhi ya wanachama au viongozi wa Chama sio sababu ya kukiuka Miongozo na miiko iliyokuwa imewekwa na waasisi wa Chama.
Kuvuruga katiba na kuondoa kikomo cha uongozi kiliwakera watu wenye maono ndani ya Chama na kukifanya kuwa Chama chenye migogoro ya ndani isiyoisha na inayosulihishwa kwa kufukuzana.
Kufukuzana ni kupunguza nguvu ya Chama na shahidi ni CCM. Kufukuzana kwa Chadema kusilinganishwe na CCM kwani CCM wanasimama na dola kudhibiti wale wanaowafukuza. Na kama sio nguvu ya dola CCM ingeathirika sana na fukuza fukuza japo sio kubwa kama Chadema.
Chadema wasiige tu mfumo wa kufukuzana kwani ni mfano mbaya kidemokrasia. Mtu apewe nafasi ya kujieleza na kusikilizwa na hata kuonywa na sio vinginevyo ndiyo gaharama ya kujenga Demokrasia,uwazi na utawala bora ndani ya Chama na serikali.
Sent using Jamii Forums mobile app