Andika 'Mheshimiwa Mdee'Na
Mdee ndie ataekalia kiti cha mbowe.
Kuna watu watalia humu.
Wajishushe, maisha yaendelee ndani ya CDM.
Wanaweza kurudi wakitaka very simply., waache ubunge na shughuli za bunge wakubali maamuzi ya Kamati kuu wapewe kadi za uwanachama upya wasubiri wachaguliwe majimboni uchaguzi ujao. Viti Maalum mara hii hatupeleki bungeni hatutambui uchaguzi wa 2020 majibu ya kura yalipikwa kabla.Chadema walifanya makosa makubwa Sana kuwafukuza wabunge wao bila ya kubaini ukweli wa Jambo lenyewe
Sawa kabisaWanaweza kurudi wakitaka very simply., waache ubunge na shughuli za bunge wakubali maamuzi ya Kamati kuu wapewe kadi za uwanachama upya wasubiri wachaguliwe majimboni uchaguzi ujao. Viti Maalum mara hii hatupeleki bungeni hatutambui uchaguzi wa 2020 majibu ya kura yalipikwa kabla.
Wait and see!Inawezekana mkuu, ila kwa hali ilivyo CHADEMA wao walishamaliza mchezo maana walishawaondoa kwenye uanachama sasa mwenye uhitaji ni wao kina Halima siyo CHADEMA
Aisee unaushauri mzuri sana, kwani wewe umebaini ukweli wa jambo lenyewe!Chadema walifanya makosa makubwa Sana kuwafukuza wabunge wao bila ya kubaini ukweli wa Jambo lenyewe.
Hao wakiruhusiwa kurudi wataanza kuleta vurugu ndani na kujijenga zaidi, huwezi kuwa na tamaa hadi unafikia hatua ya kufoji nyaraka ukisaidiwa na CCM halafu useme wewe ni Mwana Chadema, Fukuzia mbali hao.Mimi kama Mimi nadhani hawa majembe 19 wapewe nafasi,si vizuri kuwapoteza.
Ni hayo tu kwa sasa
Ngongo safarini Zanzibar Mfereji maringo.
Hahahahaha! Hata CUF waliamini Lipumba sio Mwenyekiti wao. Safari ya mwisho wa enzi imeanza. Rufaa yenye mashiko, mahakamani huku wakiwa na bargaining power kubwa ambayo wewe huijui. Usiku kitanda kimoja, mchana mwingine mjumbe ya kamati kuu, mwingine Mbunge aliyeapa akavuliwa uanachama.vita gani tena na viumbe ambao siyo wanachama wa CDM ?
Tutajuaje sisi kama hauhongwi wewe? Maana anaetegemea kuhongwa ni lazima ajue kubana matumizi kama wewe.Ni kweli hela yangu ni ya manati;lakini nachoshukuru si ya kuhongwa hongwa na kupewa bure .
Walishakaribishwa na Bashiru, waende hukoHahahahah wafauate taratibu za chama Chao sio kujivimbisha mabega kwa vipande thelathini vya ndugai
Chamsingi fwata kauli ya Chadema maana ni swala la Chadema.Watanzania ni kama tunachanganywa.
Spika Ndugai amesema wabunge 19 wanawake wa Chadema wananyanyasika kwa sababu chama hicho kina mfumo dume tena ni kampuni inayoongozwa na mtu mmoja...
Yes huo ndio utaratibu. CCM hawakutaka wapinzani walijiamini kuwa wataleta maendeleo, leo wameanza hata kutumia njia haramu kuhonga Bawacha ili waende Bungeni, wamegushi nyaraka za chama. Wakitaka wajivue ubunge, wawe wanachama wa kawaida.Wanaweza kurudi wakitaka very simply., waache ubunge na shughuli za bunge wakubali maamuzi ya Kamati kuu wapewe kadi za uwanachama upya wasubiri wachaguliwe majimboni uchaguzi ujao. Viti Maalum mara hii hatupeleki bungeni hatutambui uchaguzi wa 2020 majibu ya kura yalipikwa kabla.