mwanateknolojia
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 1,026
- 1,749
Haya ndio masuali ambayo watu wengi wanasubiria majibu yake.Sawa dada umeyatoa ya moyoni na watu tumekusikia!
Hata hivyo kuna jambo moja bado hujaliweka sawa!
Tunataka kujua yale majina 19 ya MP's wa viti maalum yaliandaliwa na nani?
Halima kamstukia spika kuwa ni mkaanga mbuyu tu. Hana lolote!Watanzania ni kama tunachanganywa.
Spika Ndugai amesema wabunge 19 wanawake wa Chadema wananyanyasika kwa sababu chama hicho kina mfumo dume tena ni kampuni inayoongozwa na mtu mmoja...
Nilitarajia waandishi wa habari waulize Hilo swali lakini kimyaaaaHalima Mdee na wenzake wanaongea maneno mengi ambayo hayana maana... Watu wanachotaka kujua ni mchakato gani ulitumika na nani aliwapitisha kuwa wabunge wa viti maalum kupitia CHADEMA... Simple question tu. Maelezo mengi ya nini?
Kwa mtu pimbi kama wewe lazima useme hivyo lakini hujui usemalo!Chadema hakuna demokrasia,kuna uhuni mwingi kule,lakini this time wamepatwa
Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti na Naibu Katibu Mkuu kuna kitu wanakijua kuhusu sakata hili ambacho Mnyika hakijui
Kwa kuongezea siku anaapishwa Halima Mdee a.k.a Delilah wa Tanzania na genge lake alidai ana baraka zote za mwenyekiti , mbona hajazionyesha baraka hizo?Sawa dada umeyatoa ya moyoni na watu tumekusikia!
Hata hivyo kuna jambo moja bado hujaliweka sawa!...
Halima Mdee na wenzake wanaongea maneno mengi ambayo hayana maana... Watu wanachotaka kujua ni mchakato gani ulitumika na nani aliwapitisha kuwa wabunge wa viti maalum kupitia CHADEMA... Simple question tu. Maelezo mengi ya nini?
Swali hilo limeulizwa jombi. Ni moja ya aliyokataa bi dada kujibu hadharani.Nilitarajia waandishi wa habari waulize Hilo swali lakini kimyaaaa
Tanzania ni nchi ya wendawazimu kabisa
Chadema walifanya makosa makubwa sana kuwafukuza wabunge wao bila ya kubaini ukweli wa Jambo lenyewe.
Halima hawezi kurudi CHADEMA, ameshakula hela ya kuivuruga CHADEMAna anacho fanya sasa sio kwa bahati mbaya, ni sehemu ya kazi aliotumwa alikounga juhudi. Muhimu ni kumdhibiti asituletee mambo ya CUF.Nashauri nafasi zao zijazwe ili kupata viongozi wapya, lakini pia wanasheria wetu waende mahakamani Kuwafungulia mashitaka ya kughushi, na wawekee zuio la kimahakama kutumia alama za chadema kwa kuwa siyo wanachama tena hadi hapo watakaporudishiwa uanachama wao...