Halima Mdee: Mwanamke shupavu na msaada mkubwa katika bunge

Halima Mdee: Mwanamke shupavu na msaada mkubwa katika bunge

Prof Koboko

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2020
Posts
350
Reaction score
2,550
Kwangu mimi Halima Mdee Mdee naweza kusema ndiye mwanamama jembe na shupavu asiyeogopa na hata hachoshi kumsikiliza. Ni moja ya wanawake shupavu sana nchini na msaada mkubwa sana katika bunge letu la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Huyu Mwanamama ni msomi mwanasheria mwenye uwezo mkubwa sana kisiasa. Ameonyesha mchango mkubwa sana kwa mwanamke wa kitanzania. Ndiye aliyesababisha leo chama chake cha CHADEMA wagombea wa kike ni wengi sana majimboni kupita vyama viingine vya siasa nchini. Amewatia ujasiri mkubwa sana Wanamama nchini.

Kumpoteza Halima Mdee bungeni ni kupoteza rasilimali muhimu sana ingawa naamini najua bado chama chake watamrudisha kupitia viti maalum.
 
Halima huwa ni mtu poa sana, ila kwa kipindi hiki kuna makosa mengi sana kayafanya na niliwahi kumueleza asirudie yale makosa. Mojawapo ni kutengeneza ufalme wake bawacha badala ya kutengeneza taasisi.
 
Back
Top Bottom