Halima Mdee na Tulia Ackson wakiwa na vibe kama lote Dodoma leo

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
WhatsApp Image 2025-01-26 at 16.52.43_d5187a9f.jpg

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, akifurahi jambo na Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA, Mhe. Halima Mdee Jijini Dodoma leo tarehe 26 Januari, 2025.​
 
View attachment 3214924

Hii picha mume wa Tulia ameona?
Ama Esther Bulaya ameiona?

Huenda ikaleta mtafaruku.
 
Yaani mwanamke hataki bwana wala kuolewa, lakini hapo hapo anamingo na wake za watu kwa ukaribu na wivu mkubwa mnoo, jamii imuelewaje?
 
View attachment 3214924
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, akifurahi jambo na Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA, Mhe. Halima Mdee Jijini Dodoma leo tarehe 26 Januari, 2025.​
Tundu Lissu ametutoa mbali.
Naamini kabisa haikuwa nia yake kwenda Ccm but.......
 
View attachment 3214924
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, akifurahi jambo na Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA, Mhe. Halima Mdee Jijini Dodoma leo tarehe 26 Januari, 2025.​
Mwisho wa hizi sarakasi ni Julai, huyo Mdee ndio ameenda kufa kisiasa. Kama wangevumilia tu miezi 2 ile JPM angekata moto na baada ya maridhiano mbona wangeenda tu bungeni kwa baraka za chama.

Kwa sasa kejeli ni nyingi ila oktoba ni kulia na kusaga meno
 
Hakuna vibe litakalokaa lizidi ile ‘dansi’ ya Anna Makinda Na Lissu, ile ni moment yangu bora kisiasa nchi hii ya muda wote.

Taifa lilipokuwa na upendo, watu walibishana kwa hoja na sio risasi.
 
Attachments

  • IMG_6813.jpeg
    IMG_6813.jpeg
    159 KB · Views: 5
Back
Top Bottom