Halima Mdee na Tulia Ackson wakiwa na vibe kama lote Dodoma leo

Halima Mdee na Tulia Ackson wakiwa na vibe kama lote Dodoma leo

Hakuna vibe litakalokaa lizidi ile ‘dansi’ ya Anna Makinda Na Lissu, ile ni moment yangu bora kisiasa nchi hii ya muda wote.

Taifa lilipokuwa na upendo, watu walibishana kwa hoja na sio risasi.
Ile dance ilikuwa Baab kubwaaa
 
Yaani mwanamke hataki bwana wala kuolewa, lakini hapo hapo anamingo na wake za watu kwa ukaribu na wivu mkubwa mnoo, jamii imuelewaje?
mkuu Kuna jamaa yangu aliwahi kumkuta Kwa nabii fulan simtaji kwenye maombi ya ndoa Kwa hiyo unaweza ukamjaji bila kujua maumivu anayopitia.
 
Mwisho wa hizi sarakasi ni Julai, huyo Mdee ndio ameenda kufa kisiasa. Kama wangevumilia tu miezi 2 ile JPM angekata moto na baada ya maridhiano mbona wangeenda tu bungeni kwa baraka za chama.

Kwa sasa kejeli ni nyingi ila oktoba ni kulia na kusaga meno
Atapewa Udc ccm
 
ukiwa namke na Yuko karibu na halima e hivyo unatakiwa kushukuru mungu labda uwe huna kazi unawaza kugegeda tu
 
mkuu Kuna jamaa yangu aliwahi kumkuta Kwa nabii fulan simtaji kwenye maombi ya ndoa Kwa hiyo unaweza ukamjaji bila kujua maumivu anayopitia.
Yeah ni Kweli Wadada wazuri wasomi na maarufu mbele za watu huwa wanajifanya hawana shida, lakini moyoni wana maumivu na hamu ya kuolewa. Sema ndio hivyo tena
 
Hakuna vibe litakalokaa lizidi ile ‘dansi’ ya Anna Makinda Na Lissu, ile ni moment yangu bora kisiasa nchi hii ya muda wote.

Taifa lilipokuwa na upendo, watu walibishana kwa hoja na sio risasi.
Tuonjeshe aisee. Natamani kuliona. Dansi halisi la moyoni sio hilo la Paka na panya wa siku hizi
 
Hii picha mume wa Tulia ameona?
Ama Esther Bulaya ameiona?

Huenda ikaleta mtafaruku.
Mkuu funguka vizurii ni kama kitu unataka kusema ila bado hujasema. Sijakuelewa Mkuu.

Ila huyu Mdee namuelewaa sanaa weusi na figa yake.. Pisi kali au nasema uongo ndugu zangu..
 
Yeah ni Kweli Wadada wazuri wasomi na maarufu mbele za watu huwa wanajifanya hawana shida, lakini moyoni wana maumivu na hamu ya kuolewa. Sema ndio hivyo tena
kabsa mkuu ni vile wanakufa na tai shingoni
 
Tuonjeshe aisee. Natamani kuliona. Dansi halisi la moyoni sio hilo la Paka na panya wa siku hizi
IMG_6813.jpeg
 
Back
Top Bottom