Halima Mdee na wenzake 18 wagoma kufika Kamati Kuu ya chama kwa madai ya kupokea vitisho toka kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA

You have simply tied yourself up with your own rope! Wonderful, colorful words, but the content is angrily hungry!
 
MaCCM mmemuona kiboko yenu Mbowe kwenye kikao cha kamati kuu CHADEMA.
Semeni lingine sasa, waunga juhudi tunawapa hao, sie hatuishi na wasaliti nyumba moja. FUKUZAAA..!
Hzo picha za siku nyingi HAKUNA kikao chochote
 
Umeongea point
Inawezekana viongozi wamezidiana kwenye mgao
Lakini mnyika anajua yote
Mbona mpaka muda huu wako kimy
Issue ya mgao inawezekana, lakini hisia zangu kubwa ni namna ya kukiendesha Chama kupitia ruzuku.

Vinginevyo mzigo unaweza kuwaelemea wachache. Wapiga kelele wengi siyo Wa kuwategemea sana ingawa impact yao iko kwenye kukifanya Chama kiishi.

Ila lazima mahesabu yalifanyika vizuri
 
kuwa mfuasi wa chadema kunahitaji sana moyo
Kuna mke wa Salum Mwalimu,kuna Mke wa Kigaila,kuna Mke wa John Mrema katika hao wabunge 19,na hao makamanda ni vibaraka wakubwa sana wa Mbowe,in maana nyumbu hawajui kwamba hapo hafukuzwi mtu?
Waonaje ukitulia huko kwenu ukafaidi mawazo ya mtu mmoja tu.
 
Mwenyekiti ndiye aliyemtoa yule wa Singida kwenda kuapa kesho yake tumia ubongo vizuri wewe mnatumika vibaya ninyi hili taifa letu sote hakuna mshindi wala mshindwa wote ni watanzania.
 
Kamati Kuu ni watu wasiojielewa wametawaliwa na tamaa..na hivi wanategemea sikuhizi Akili ya kigogo kafanya maamzi ndo basi tena
 
Tuliendelea kuisupport cdm maana kosa moja haliachi mke. Na cdm uchaguzi huu hawakurudia tena kosa la kuleta wagombea wasio na ridhaa ya wanachama.
Safi kabisa,na hata sasa wasipowafukuza hao wakina Halima nako pia mtaendelea kusapoti kama kawaida.
 


Huu mchezo hauhitaji hasira
 
Hao walikuwa na Mabango wakipewa nafasi watakataa? Au viini macho tu
 
Hii ndio kazi Magufuli anayoweza kufanya, yeye maendeleo ni usanii tu wa kwenye majukwaa.

Atamaliza miaka yake kumi ya ukora nchi ikirudi nyuma kimaendeleo kama treni ya Godegode. Very useless dictator.
 
Wewe na wewe kichwa kibovu!

Kuitwa kujieleza ni udhalilishaji?unafahamu hasa lugha ya Kiswahili?unaweza kusema hapa wamedhalilishwa vipi?
Wewe na mnyika ndio vichwa vibovu, mlitaka kupeleka viburudisho vyenu, sauti ya zege kawaumbua , Halima ongeza volume.
 
Bujibuji, Huyo Hilda si ndiye alikua anaulilia ubunge wa viti maalum akatekwa chini. Akaanza kulialia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…