Halima Mdee na wenzake 18 wakata Rufaa CHADEMA

Halima Mdee na wenzake 18 wakata Rufaa CHADEMA

Ni Jambo jema. Cha msingi wasikilize chama Chao, ubunge Sio lazima.
 
Wabunge wa viti maalumu kupitia CHADEMA mh. Halima James Mdee na wenzake 18 wamekata rufaa kupinga kuvuliwa uanachama na kamati kuu ya chama hicho.

Chanzo: Mwananchi

My take; Hongereni kwa kuzingatia muda.

Maendeleo hayana vyama!
Leo Mbowe na Msigea wakiteuliwa ubumge na mkulu wataenda Bungeni huku wanakimbia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wabunge wa viti maalumu kupitia CHADEMA mh. Halima James Mdee na wenzake 18 wamekata rufaa kupinga kuvuliwa uanachama na kamati kuu ya chama hicho.

Chanzo: Mwananchi

My take; Hongereni kwa kuzingatia muda.

Maendeleo hayana vyama!
Hata wakate rufaa kwa Mungu sisi hatuwataki hawatakubaliwa. Waende ACT au CCM
 
Mungu awajalie tonge lisiwaponyoke, mtaani maisha taiti Sana watachakazwa
 
1609154036043.png
 
Ukiangalia yanayoendelea kutokea nchini utagundua kwanini ccm inatwala hadi leo na pengene kesho maana unafiki wa kiwango hiki sidhani kama upo nchi nyingine!
 
Hahaha kwani ccm kunawasha hadi wang'ang'anie Chadema?!

Walishaondoka wadiangalie nyuma, au ccm ndio wanataka wawe wanachama wa chadema?!

Kwani lazima ubunge, si ccm iwape ma vyeo mengine tu, wanashindwa nini?!
 
ni dhamira zao binafsi ndio zimewasukuma kusubiri kukata rufaa siku ya mwisho?
Ni mbinu au technic ya kijanja inayoitwa 'tick tack'. Yaani unamzungusha mpinzani wako kwa muda mrefu hadi anapata kizunguzungu na kukosa pumzi kabla hujaweka goli kimiani. Mzunguko uko hivi:
1. Kamati kuu kuwafukuza hadi kukata rufaa kwenye baraza kuu = siku 60.
2. Kupokelewa rufaa hadi kufanyika kikao cha baraza kuu = si chini ya miezi 3. 3. Gharama ya kuitisha kikao cha baraza kuu ni kubwa sana kwani wajumbe wake wanatoka mikoa yote ya Tanzania bara na Zanzibar. Chama hakina pesa na ruzuku hakipati tena. Ili kuitisha kikao hicho chama itabidi kitembeze bakuli la kuomba omba - kitu ambacho kinaweza kuchukua miezi si chini ya sita.
4. Uamuzi wa baraza kuu unajulikana. Litalidhia uamuzi wa kamati kuu wa kuwafukuza.
5. Baada ya hapo ndiyo mchezo unahamia mahakamani ambako unaweza kuchezwa kwa muda wa miaka kadhaa.

Kipindi chote cha hiyo tick tack watakuwa wakiendelea na ubunge wao. Chama kimesha pasuka (In Membe's voice)!
 
Back
Top Bottom