Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kutokana na kampeni za kijinga zinazoendelea hapa JF na kwingineko, za kutaka Msaliti Mdee na Wasaliti wenzake warejeshwe Chadema, Imebidi tumelazimika kuja kutoa Ufafanuzi.
Halima Mdee na wenzake, akiwemo Dadaangu Sophia Mwakagenda, Walifukuzwa Chadema na kuvuliwa Uanachama na Vikao halali vya Chama, kwa tuhuma za Aibu za Usaliti na Rushwa ya pesa Taslimu pamoja na kuhongwa Madaraka ya Ubunge (Waliapishwa gereji na Ndugai)
Usaliti walioufanya hawa Wamama umesababisha hasara kubwa kwa Nchi na kilichokuwa Chama chao, Chadema imeitisha vikao kadhaa vya dharula vyenye gharama kubwa kwa ajili ya kuwajadili, zimefunguliwa kesi za gharama kubwa mno huku wao wakilipwa mishahara batili na kulindwa na CCM na Serikali yake, Nani hajui hili?
Hawa hawastahili kusamehewa hata na Shetani na wala hatuna haja ya kupoteza muda kuwajadili tena.
Bali Ifahamike kwamba Walishafukuzwa Chadema tena hadharani, Viongozi wa Chadema kuhudhuria Msiba wa Mama Theresia Mdee aliyekuwa Mwanachama wa Chadema hakuhusiani chochote na Usaliti wa Mtoto wake.
Tumeona tuliweke wazi hili ili kuhitimisha chokochoko za Mamluki kila mahali .
KAMA UNAMPENDA MTU KUTOKANA NA SURA YAKE BASI NENDA KANYWE NAYE CHAI-JK NYERERE