Pre GE2025 Halima Mdee na Wenzake 18 walifukuzwa CHADEMA kwa Usaliti, Nafasi yao Haipo tena na haitokuja kuwepo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Uliwasikia wao wenyewe wakisema hivyo, au umeamua kuwasemea wewe?

Kingine ni hiki, Chadema ina wamama wengi mno wenye uwezo mkubwa sana kuliko hata hao
Hakuna jembe kama Halima Mdee tusidanganyane hapa. Ila kama na wewe unataka kumpenyeza mkeo viti maalum CHADEMA nitakuelewa
 
Wewe na Mchungaji Msigwa mnafanana kwa ukapuku

Chadema inahitaji Watu Wenye ukwasi akina Halima Mdee,mama Kaboyoka, Bulaya nk

Sasa wewe hata Bawacha tu huna hadhi yoyote

Ulale Unono 😃😃
Endelea kubishana jf usifiwe
 
Kutokana na kampeni za kijinga zinazoendelea hapa JF na kwingineko, za kutaka Msaliti Mdee na Wasaliti wenzake warejeshwe Chadema, Imebidi tumelazimika kuja kutoa Ufafanuzi.

Halima Mdee na wenzake, akiwemo Dadaangu Sophia Mwakagenda, Walifukuzwa Chadema na kuvuliwa Uanachama na Vikao halali vya Chama, kwa tuhuma za Aibu za Usaliti na Rushwa ya pesa Taslimu pamoja na kuhongwa Madaraka ya Ubunge (Waliapishwa gereji na Ndugai)

Usaliti walioufanya hawa Wamama umesababisha hasara kubwa kwa Nchi na Chama chao, Chadema imeitisha vikao kadhaa vya dharula vyenye gharama kubwa kwa ajili ya kuwajadili, zimefunguliwa kesi za gharama kubwa mno huku wao wakilipwa mishahara batili na kulindwa na CCM na Serikali yake, Nani hajui hili?

Hawa hawastahili kusamehewa hata na Shetani na wala hatuna haja ya kupoteza muda kuwajadili tena.

Bali Ifahamike kwamba Walishafukuzwa Chadema tena hadharani, Viongozi wa Chadema kuhudhuria Msiba wa Mama Theresia Mdee aliyekuwa Mwanachama wa Chadema hakuhusiani chochote na Usaliti wa Mtoto wake.

Tumeona tuliweke wazi hili ili kuhitimisha chokochoko za Mamluki kila mahali .

KAMA UNAMPENDA MTU KUTOKANA NA SURA YAKE BASI NENDA KANYWE NAYE CHAI-JK NYERERE
GREAT.

By the way; Hii ni Taarifa rasmi ya Chama? Na wewe uliyeileta/uliyei publish ni nani pale CHADEMA?
 
Hakuna mwanasiasa au Chama cha siasa chenye msimamo kwa lolote
Hata kinyume cha uliyoandika kikitokea utakuwa tena hapa kwa shangwe na vigeregere.
 
2025 Hawa wadada wanaelekea wapi mungu wa mbinguni?

Ukiingia Bungeni miaka mitano umesha uaga umasikini......
Hata wakiamua kubakia mtaani waendeshe maisha yao na Mtaji wa nguvu wanapatiwa wakiagwa. Usije kujifananisha na mtu anafanya kazi miaka tano anapewa kiinua mgongo kikubwa kuliko mfanyakazi aliyehudumu miaka 35
 
Hebu jiweke kwenye viatu vyao halafu niambie ungefanyaje. Jifanye wewe ni Nusrat Henje, umetumikia kifungo rumande bila hatia kwa siku 120, halafu siku moja milango ya gereza inafunguliwa unaambiwa utoke. Kisha uende mahali ukaapishwe kuwa mbunge wa viti maalum.

Je ungeng'ang'ania kubaki rumande?.

Mambo ya mwaka 2020 yalikuwa ni ajali kwa watanzania wote kutokana na lile DUBWASHA tulilolizika Chato. Hakuna mwenye kosa kati ya hao 19. Huo ukurasa unfungwe TUJIPANGE UPYA na hawa akina Halima.
Utumboo huu aisee mbona mwenzie twaha mwaipaja alitoka?
 
GREAT.

By the way; Hii ni Taarifa rasmi ya Chama? Na wewe uliyeileta/uliyei publish ni nani pale CHADEMA?
Mimi ni mwandishi wa JF nimenukuu maelezo ya Kamati kuu na Baraza kuu la Chadema, Maamuzi yake yalitangazwa hadharani
 
Kutokana na kampeni za kijinga zinazoendelea hapa JF na kwingineko, za kutaka Msaliti Mdee na Wasaliti wenzake warejeshwe Chadema, Imebidi tumelazimika kuja kutoa Ufafanuzi.

Halima Mdee na wenzake, akiwemo Dadaangu Sophia Mwakagenda, Walifukuzwa Chadema na kuvuliwa Uanachama na Vikao halali vya Chama, kwa tuhuma za Aibu za Usaliti na Rushwa ya pesa Taslimu pamoja na kuhongwa Madaraka ya Ubunge (Waliapishwa gereji na Ndugai)

Usaliti walioufanya hawa Wamama umesababisha hasara kubwa kwa Nchi na Chama chao, Chadema imeitisha vikao kadhaa vya dharula vyenye gharama kubwa kwa ajili ya kuwajadili, zimefunguliwa kesi za gharama kubwa mno huku wao wakilipwa mishahara batili na kulindwa na CCM na Serikali yake, Nani hajui hili?

Hawa hawastahili kusamehewa hata na Shetani na wala hatuna haja ya kupoteza muda kuwajadili tena.

Bali Ifahamike kwamba Walishafukuzwa Chadema tena hadharani, Viongozi wa Chadema kuhudhuria Msiba wa Mama Theresia Mdee aliyekuwa Mwanachama wa Chadema hakuhusiani chochote na Usaliti wa Mtoto wake.

Tumeona tuliweke wazi hili ili kuhitimisha chokochoko za Mamluki kila mahali .

KAMA UNAMPENDA MTU KUTOKANA NA SURA YAKE BASI NENDA KANYWE NAYE CHAI-JK NYERERE

View: https://twitter.com/MwananchiNews/status/1821219361928995144?t=0M-Trt6M6zmEhxw_oqhSNw&s=19
 
Ila ni warembo tuacheni utani nyie.
Sasa tuliowapenda tutawapata wapi kunywa nao chai kutokana na busara hiyo ya baba wa Taifa?
 
Back
Top Bottom