Pre GE2025 Halima Mdee na Wenzake 18 walifukuzwa CHADEMA kwa Usaliti, Nafasi yao Haipo tena na haitokuja kuwepo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kutokana na kampeni za kijinga zinazoendelea hapa JF na kwingineko, za kutaka Msaliti Mdee na Wasaliti wenzake warejeshwe Chadema, Imebidi tumelazimika kuja kutoa Ufafanuzi.

Halima Mdee na wenzake, akiwemo Dadaangu Sophia Mwakagenda, Walifukuzwa Chadema na kuvuliwa Uanachama na Vikao halali vya Chama, kwa tuhuma za Aibu za Usaliti na Rushwa ya pesa Taslimu pamoja na kuhongwa Madaraka ya Ubunge (Waliapishwa gereji na Ndugai)

Usaliti walioufanya hawa Wamama umesababisha hasara kubwa kwa Nchi na kilichokuwa Chama chao, Chadema imeitisha vikao kadhaa vya dharula vyenye gharama kubwa kwa ajili ya kuwajadili, zimefunguliwa kesi za gharama kubwa mno huku wao wakilipwa mishahara batili na kulindwa na CCM na Serikali yake, Nani hajui hili?

Hawa hawastahili kusamehewa hata na Shetani na wala hatuna haja ya kupoteza muda kuwajadili tena.

Bali Ifahamike kwamba Walishafukuzwa Chadema tena hadharani, Viongozi wa Chadema kuhudhuria Msiba wa Mama Theresia Mdee aliyekuwa Mwanachama wa Chadema hakuhusiani chochote na Usaliti wa Mtoto wake.

Tumeona tuliweke wazi hili ili kuhitimisha chokochoko za Mamluki kila mahali .

KAMA UNAMPENDA MTU KUTOKANA NA SURA YAKE BASI NENDA KANYWE NAYE CHAI-JK NYERERE
Mkuu subiri kidogo utakuja kufuta maneno haya. Hawa watasamehewa na kupewa tena nafasi ya kugombea.
Siasa za TZ ni comedy
 
Weka akiba ya maneno binti yangu! Usiamini kila kitu kutoka kwa wanasiasa wa kitanzania! Ni hayo tu maana linalotokea wakati ile nilikutonya ukanikatalia!
Shut Up!
 
Yaani hakuna habari inayoboa kama ya akina halima. Inajulikana kabisa bila kutoa uchi kwa mbowe hupendekezwi, leo hii kuwa nzima mnawasena akina halima, mkome! Waacheni wawe na uhuru wa kuamua
Huna akili
 
Sijaandika kibwege
Mwaka 2014 mwanachedema angeambuwa lowassa anaweza kugombea urais kwa tiketi ya chadema angetukana kabisa na kuapa kuwa haiwezi kutokea.
Mungu atupe uhai, akina halima watasamehewa
 
........KAMA UNAMPENDA MTU KUTOKANA NA SURA YAKE BASI NENDA KANYWE NAYE CHAI-JK NYERERE
Ujumbe umefika mwenye masikio na asikie. Kuelekea 2025 waliounga mkono juhudi za mwendazake wanatafuta kivuli jua linawawakia. Usiachie mbachao kwa msala upitao.
 
Kila la kheri kwake Halima, japo kuna kitu lazima akubali kukipoteza. Hakiwezi kuwa kama awali. #Respect
 
Chadema ni Taasisi, inaweza kuwapokea kama wanachama wapya, siyo lazima warudi CHADEMA kwa msamaha.
 
wabunge wa Covid 19 sio wanachama wa Chadema.Itashangaza na kuwa Vunja moyo wanawake walio kaa ndani ya Chama na kuvumilia kisha tukawarudisha kina halima na wenzake.
Chadema wameondoka watu wazito na Tulisimama Imara sembuse hao.
 
Amina
 
Kutokana na kampeni za kijinga zinazoendelea hapa JF na kwingineko, za kutaka Msaliti Mdee na Wasaliti wenzake warejeshwe Chadema, Imebidi tumelazimika kuja kutoa Ufafanuzi.

Halima Mdee na wenzake, akiwemo Dadaangu Sophia Mwakagenda, Walifukuzwa Chadema na kuvuliwa Uanachama na Vikao halali vya Chama, kwa tuhuma za Aibu za Usaliti na Rushwa ya pesa Taslimu pamoja na kuhongwa Madaraka ya Ubunge (Waliapishwa gereji na Ndugai)

Usaliti walioufanya hawa Wamama umesababisha hasara kubwa kwa Nchi na kilichokuwa Chama chao, Chadema imeitisha vikao kadhaa vya dharula vyenye gharama kubwa kwa ajili ya kuwajadili, zimefunguliwa kesi za gharama kubwa mno huku wao wakilipwa mishahara batili na kulindwa na CCM na Serikali yake, Nani hajui hili?

Hawa hawastahili kusamehewa hata na Shetani na wala hatuna haja ya kupoteza muda kuwajadili tena.

Bali Ifahamike kwamba Walishafukuzwa Chadema tena hadharani, Viongozi wa Chadema kuhudhuria Msiba wa Mama Theresia Mdee aliyekuwa Mwanachama wa Chadema hakuhusiani chochote na Usaliti wa Mtoto wake.

Tumeona tuliweke wazi hili ili kuhitimisha chokochoko za Mamluki kila mahali .

KAMA UNAMPENDA MTU KUTOKANA NA SURA YAKE BASI NENDA KANYWE NAYE CHAI-JK NYERERE
Huu ndio msimamo wa Mwenyekiti?
 
Ameondoka W.Slaa,Zito,Kafulila,Silinde,Mwita,Msigwa,Katambi,Mkumbo na wengine kibao sisi tupo tu tunasonga na kuwa Imara.

Tatizo Naona hawana watoto wa 2000 hawajui historia ya siasa za Tanzania.Wao wameanza kumjua Mdee juzi. Sisi yule tumemsoma kwa magazeti .
 
Pole sana, jaribu katika mijadala ku 'control your temper' . Jifunze kujenga hoja. Hili suala kama utakuwa na kumbukumbu vizuri bila mihemko, nilikueleza kuwa hawa watamaliza kipindi chao. Ukanibishia, sasa yapo wapi.
 
Kwa mujibu wa kamusi usaliti ni kitendo cha kukiuka makubaliano fulani halali kwa manufaa binafsi, ambapo Maandiko Matakatifu yanaeleza kwamba, Laana ya Usaliti haina Msamaha na inatafuna hadi kizazi cha 4 cha mhusika
Umepata 40% tu
 
Kutokana na kampeni za kijinga zinazoendelea hapa JF na kwingineko, za kutaka Msaliti Mdee na Wasaliti wenzake warejeshwe Chadema, Imebidi tumelazimika kuja kutoa Ufafanuzi.

Halima Mdee na wenzake, akiwemo Dadaangu Sophia Mwakagenda, Walifukuzwa Chadema na kuvuliwa Uanachama na Vikao halali vya Chama, kwa tuhuma za Aibu za Usaliti na Rushwa ya pesa Taslimu pamoja na kuhongwa Madaraka ya Ubunge (Waliapishwa gereji na Ndugai)

Usaliti walioufanya hawa Wamama umesababisha hasara kubwa kwa Nchi na kilichokuwa Chama chao, Chadema imeitisha vikao kadhaa vya dharula vyenye gharama kubwa kwa ajili ya kuwajadili, zimefunguliwa kesi za gharama kubwa mno huku wao wakilipwa mishahara batili na kulindwa na CCM na Serikali yake, Nani hajui hili?

Hawa hawastahili kusamehewa hata na Shetani na wala hatuna haja ya kupoteza muda kuwajadili tena.

Bali Ifahamike kwamba Walishafukuzwa Chadema tena hadharani, Viongozi wa Chadema kuhudhuria Msiba wa Mama Theresia Mdee aliyekuwa Mwanachama wa Chadema hakuhusiani chochote na Usaliti wa Mtoto wake.

Tumeona tuliweke wazi hili ili kuhitimisha chokochoko za Mamluki kila mahali .

KAMA UNAMPENDA MTU KUTOKANA NA SURA YAKE BASI NENDA KANYWE NAYE CHAI-JK NYERERE
Nimemshangaa sana kukubali msiba wa mama yake kuwa kutumiwa na ccm.
Maisha haya hataa mzazi!!?
 
Covid-19 walishafukuzwa hao ,kama wanataka kurudi CDM wafuate taratibu za kujiunga na chama.

Kuna mmoja mke wa kitenge Nusrat Hanje alisema amechagua kula "WALI NYAMA"
 
Mmm. Ingekuwa CCM ningesema umeshasoma upepo wa mwenyekiti kwani yeye ndiye CC, halmashauri na mkutano mkuu. Hiyo ni mihuri tu kuhalalisha maamuzi yake.

Kwa hiyo CHADEMA nako umeshapitiwa na upepo wa Mwenyekiti ambao Erythrocyte hana habari yake? Tuone kama Mbowe ana jeuri huko CHADEMA kama aliyo nayo SSH ndani ya CCM.
Mchungaji Msigwa amesema maamuzi ya Mwenyekiti ni ya mwisho ndio sababu alimkata Dr Slaa na kumleta Lowassa bila kuishirikisha Kamati Kuu
 
Back
Top Bottom