Pre GE2025 Halima Mdee na Wenzake 18 walifukuzwa CHADEMA kwa Usaliti, Nafasi yao Haipo tena na haitokuja kuwepo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Utumboo huu aisee mbona mwenzie twaha mwaipaja alitoka?
Kwani naye Twaha Mwaipaya ni mwanamke?

Au unamtetea Mwaipaya kwa vile demu wako? Ulitaka na wewe uwe mume wa mbunge?
 
Hujui siasa japo wapenda siasa. Siasa hazina adui wala rafiki wa kudumu. Angalia scenario za Kenya za KANU, ODM, UDA, AZIMIO etc
Halafu wamefanya nini hapo bungeni tangu waapishwe na ccm? eti sijui siasa!
 
Basi huwa hufuatlii mijadala ya bunge kwa kuwa saa zote uko kwenye mikutano ya Mbowe. Nenda kaombe Hansard utaona kazi zao
 
Hivi waliokuteua na kukuapisha waweza kuwaambia nini? Mkuu sisi si wa kudanganywa kijinga
 
Kutokana na kampeni za kijinga zinazoendelea hapa JF na kwingineko, za kutaka Msaliti Mdee na Wasaliti wenzake warejeshwe Chadema, Imebidi tumelazimika kuja kutoa Ufafanuzi.

Halima Mdee na wenzake, akiwemo Dadaangu Sophia Mwakagenda, Walifukuzwa Chadema na kuvuliwa Uanachama na Vikao halali vya Chama, kwa tuhuma za Aibu za Usaliti na Rushwa ya pesa Taslimu pamoja na kuhongwa Madaraka ya Ubunge (Waliapishwa gereji na Ndugai)

Usaliti walioufanya hawa Wamama umesababisha hasara kubwa kwa Nchi na kilichokuwa Chama chao, Chadema imeitisha vikao kadhaa vya dharula vyenye gharama kubwa kwa ajili ya kuwajadili, zimefunguliwa kesi za gharama kubwa mno huku wao wakilipwa mishahara batili na kulindwa na CCM na Serikali yake, Nani hajui hili?

Hawa hawastahili kusamehewa hata na Shetani na wala hatuna haja ya kupoteza muda kuwajadili tena.

Bali Ifahamike kwamba Walishafukuzwa Chadema tena hadharani, Viongozi wa Chadema kuhudhuria Msiba wa Mama Theresia Mdee aliyekuwa Mwanachama wa Chadema hakuhusiani chochote na Usaliti wa Mtoto wake.

Tumeona tuliweke wazi hili ili kuhitimisha chokochoko za Mamluki kila mahali .

KAMA UNAMPENDA MTU KUTOKANA NA SURA YAKE BASI NENDA KANYWE NAYE CHAI-JK NYERERE
Uwe na akiba ya maneno comrade, kwenye siasa kila kitu kinawezekana. Ni kama Mwenyekiti wa CCM, Samia alipohutubia mkutano wa BAWACHA.

Ukitaka kujua ugumu wa ulichokieleza hapa, mwambie Mbowe atamke kama ambavyo umeandika hapa kuhusu Halima Mdee na wenzake.

Waswahili wana msemo mashuhuri sana unaoendana na ugumu wa suala la akina Mdee kwa Chadema, usemao; Tikiti baya limo shambani mwako.

Ova
 
Nimeandika nikijua wako watakaokuja na andiko kama lako, Sijakurupuka
 
Kutokana na kampeni za kijinga zinazoendelea hapa JF na kwingineko, za kutaka Msaliti Mdee na Wasaliti wenzake warejeshwe Chadema, Imebidi tumelazimika kuja kutoa Ufafanuzi.

Halima Mdee na wenzake, akiwemo Dadaangu Sophia Mwakagenda, Walifukuzwa Chadema na kuvuliwa Uanachama na Vikao halali vya Chama, kwa tuhuma za Aibu za Usaliti na Rushwa ya pesa Taslimu pamoja na kuhongwa Madaraka ya Ubunge (Waliapishwa gereji na Ndugai)

Usaliti walioufanya hawa Wamama umesababisha hasara kubwa kwa Nchi na kilichokuwa Chama chao, Chadema imeitisha vikao kadhaa vya dharula vyenye gharama kubwa kwa ajili ya kuwajadili, zimefunguliwa kesi za gharama kubwa mno huku wao wakilipwa mishahara batili na kulindwa na CCM na Serikali yake, Nani hajui hili?

Hawa hawastahili kusamehewa hata na Shetani na wala hatuna haja ya kupoteza muda kuwajadili tena.

Bali Ifahamike kwamba Walishafukuzwa Chadema tena hadharani, Viongozi wa Chadema kuhudhuria Msiba wa Mama Theresia Mdee aliyekuwa Mwanachama wa Chadema hakuhusiani chochote na Usaliti wa Mtoto wake.

Tumeona tuliweke wazi hili ili kuhitimisha chokochoko za Mamluki kila mahali .

KAMA UNAMPENDA MTU KUTOKANA NA SURA YAKE BASI NENDA KANYWE NAYE CHAI-JK NYERERE
Who are you? Are you the party owner? Who decide ? One person can decide?
 
Hakuna haja ya kuwarudisha. Wafukuzwe jumla na waende kwenye Vyama vinavyowahitaji.
 
Kutokana na kampeni za kijinga zinazoendelea hapa JF na kwingineko, za kutaka Msaliti Mdee na Wasaliti wenzake warejeshwe Chadema, Imebidi tumelazimika kuja kutoa Ufafanuzi.

Halima Mdee na wenzake, akiwemo Dadaangu Sophia Mwakagenda, Walifukuzwa Chadema na kuvuliwa Uanachama na Vikao halali vya Chama, kwa tuhuma za Aibu za Usaliti na Rushwa ya pesa Taslimu pamoja na kuhongwa Madaraka ya Ubunge (Waliapishwa gereji na Ndugai)

Usaliti walioufanya hawa Wamama umesababisha hasara kubwa kwa Nchi na kilichokuwa Chama chao, Chadema imeitisha vikao kadhaa vya dharula vyenye gharama kubwa kwa ajili ya kuwajadili, zimefunguliwa kesi za gharama kubwa mno huku wao wakilipwa mishahara batili na kulindwa na CCM na Serikali yake, Nani hajui hili?

Hawa hawastahili kusamehewa hata na Shetani na wala hatuna haja ya kupoteza muda kuwajadili tena.

Bali Ifahamike kwamba Walishafukuzwa Chadema tena hadharani, Viongozi wa Chadema kuhudhuria Msiba wa Mama Theresia Mdee aliyekuwa Mwanachama wa Chadema hakuhusiani chochote na Usaliti wa Mtoto wake.

Tumeona tuliweke wazi hili ili kuhitimisha chokochoko za Mamluki kila mahali .

KAMA UNAMPENDA MTU KUTOKANA NA SURA YAKE BASI NENDA KANYWE NAYE CHAI-JK NYERERE
mbona mbowe amepokea ruzuku kwa mgongo wao, akiwatambua kuwa anapokea ruzuku ya wabunge wa chadema, na ameona ruzuku tamu kweli kweli.
 
Mchungaji Msigwa amesema maamuzi ya Mwenyekiti ni ya mwisho ndio sababu alimkata Dr Slaa na kumleta Lowassa bila kuishirikisha Kamati Kuu
Ahaa , kwa hiyo kwako wewe John tayari Msigwa keshakuwa “authority” ya uongozi wa CHADEMA. Yaani neno lake ni fact! Sawa.
 
Back
Top Bottom