Pre GE2025 Halima Mdee na Wenzake 18 walifukuzwa CHADEMA kwa Usaliti, Nafasi yao Haipo tena na haitokuja kuwepo

Pre GE2025 Halima Mdee na Wenzake 18 walifukuzwa CHADEMA kwa Usaliti, Nafasi yao Haipo tena na haitokuja kuwepo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ahaa , kwa hiyo kwako wewe John tayari Msigwa keshakuwa “authority” ya uongozi wa CHADEMA. Yaani neno lake ni fact! Sawa.
Kikwete: Mimi ndio nilipitisha Jina la Magufuli kwenye CC, ndugu Zangu Mwenyekiti wa CCM ana nguvu kubwa sana 😀😀
 
Hivi waliokuteua na kukuapisha waweza kuwaambia nini? Mkuu sisi si wa kudanganywa kijinga
Mkuu Erythrocyte ni rahisi wewe kuhama CHADEMA na kujiunga chama kingine kwa kuwa hukubaliani na hawa 19 kubakia ndani ya CDM kuliko HALIMA MDEE kutolewa CDM.

Kama una uwezo kumzidi Halima Mdee si na wewe ungekuwa tayari ni mbunge wa Kyela kwa tiketi ya CHADEMA!! Unashindwa nini??
 
Hoja yako imekufa kibudu kwa vile Halima Mdee hayuko Chadema, alishafukuzwa, mimi bado nipo na tayari nishatangaza nia 2025 huku nikiungwa mkono na maelfu ya WanaKyela
 
Hoja yako imekufa kibudu kwa vile Halima Mdee hayuko Chadema, alishafukuzwa, mimi bado nipo na tayari nishatangaza nia 2025 huku nikiungwa mkono na maelfu ya WanaKyela
Natunza hii post, tutarudi hapa mwaka 2025. Usibadili ID tu
 
Huna akili
Mbowe kajaa rushwa rushwa iwe ngone hela etc. Mtu ambaye anakubali kuidha utu wake kisa hela hafai kabisa. Huo utabaki ukweli hata wewe unajua kabisa mbowe ni mla rushwa anaongoza genge la wahuni
 
Wabunge 13 wameshasamehewa linasubiriwa tamko tu la CC ya Chadema

Mlale Unono 😀
Hawa wamama wanaweza kuwa asset ya kutupatia intelligence information za upande wa pili. Mimi sina vhsma ila kwa uchambuzi wangu wakirudishwa sioni madhara. Hii ilikuwa ni njaa kama njaa nyingine zozote
 
toka 2020.
Alikula hela za JIWE na wapo wengine hawajahama kipindi hiki cha hela za ABDU lakini wanapeleka siri upande wa pili.
Weka kivuli cha kadi yake hapa!! Kama huna funga domo lako. Subiri wenye chama wakiendeshe
 
Kutokana na kampeni za kijinga zinazoendelea hapa JF na kwingineko, za kutaka Msaliti Mdee na Wasaliti wenzake warejeshwe Chadema, Imebidi tumelazimika kuja kutoa Ufafanuzi.

Halima Mdee na wenzake, akiwemo Dadaangu Sophia Mwakagenda, Walifukuzwa Chadema na kuvuliwa Uanachama na Vikao halali vya Chama, kwa tuhuma za Aibu za Usaliti na Rushwa ya pesa Taslimu pamoja na kuhongwa Madaraka ya Ubunge (Waliapishwa gereji na Ndugai)

Usaliti walioufanya hawa Wamama umesababisha hasara kubwa kwa Nchi na kilichokuwa Chama chao, Chadema imeitisha vikao kadhaa vya dharula vyenye gharama kubwa kwa ajili ya kuwajadili, zimefunguliwa kesi za gharama kubwa mno huku wao wakilipwa mishahara batili na kulindwa na CCM na Serikali yake, Nani hajui hili?

Hawa hawastahili kusamehewa hata na Shetani na wala hatuna haja ya kupoteza muda kuwajadili tena.

Bali Ifahamike kwamba Walishafukuzwa Chadema tena hadharani, Viongozi wa Chadema kuhudhuria Msiba wa Mama Theresia Mdee aliyekuwa Mwanachama wa Chadema hakuhusiani chochote na Usaliti wa Mtoto wake.

Tumeona tuliweke wazi hili ili kuhitimisha chokochoko za Mamluki kila mahali .

KAMA UNAMPENDA MTU KUTOKANA NA SURA YAKE BASI NENDA KANYWE NAYE CHAI-JK NYERERE
Sipati picha Kamati Kuu ya Chadema ikitoa tamko la kuwasamehe na kuwarudisha kundini utafanya nini? Naamini kwa aibu utakuja CCM na tutakupokea na tutakupiga picha ukiwa umebeba picha ya Mama yenye maandishi, "Kazi Iendelee"! Ahahahahaha!!
 
Sisi CCM tungependa muwarudishe ili hata mwaka 2025 tufanye hivyo hivyo kwa ajili ya kutusitiri kimataifa.
 
Sipati picha Kamati Kuu ya Chadema ikitoa tamko la kuwasamehe na kuwarudisha kundini utafanya nini? Naamini kwa aibu utakuja CCM na tutakupokea na tutakupiga picha ukiwa umebeba picha ya Mama yenye maandishi, "Kazi Iendelee"! Ahahahahaha!!
Haitakuja kutokea
 
Back
Top Bottom