Halima Mdee na wenzake 18 wapanga kuihujumu BAWACHA, washitukiwa

Halima Mdee na wenzake 18 wapanga kuihujumu BAWACHA, washitukiwa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Baraza la Wanawake wa Chadema limekanusha kuitisha kongamano lolote linalohusiana na BAWACHA , hivyo halitambui kongamano lolote litakalofanywa kwa kutumia jina lao.

IMG_20201216_135734.jpg
IMG_20201216_135745.jpg
 
Kumetokea nini kwa viongozi wa BAWACHA waliobaki? Pamoja na maelekezo ya Mwenyekiti kujwazwa haraka kwa nafasi walizokuwa wakizishikilia, bado mpaka sasa hazijajazwa na watu wengine, kwa nini?

Nia yao ya kukata rufaa haiwahalalishi kuwa bado wanashikilia nyadhifa zao mpaka pale maamuzi ya rufaa zao yatakapotolewa?
 
Kwani hili chama cha DJ bado kipo nikajua kimeamua to a remix za wakimbizi na waliobaki washapewa ruhusu ya mwenyekiti DJ waingie bungeni....nyumbu bana
 
Hii tango pori, au ndo hujuma zenyewe? Eti akina Mdee walifukuzwa chadema Okt 27? Kwa hiyo walishiriki uchaguzi mkuu wakiwa siyo Wanachama wa Chadema?
 
Back
Top Bottom