Halima Mdee na wenzake 18 wapanga kuihujumu BAWACHA, washitukiwa

Halima Mdee na wenzake 18 wapanga kuihujumu BAWACHA, washitukiwa

Wale wanawake wameshageuzwa makatuni na CCM, sasa wanatumiwa kama midoli.

Wanajidai bado wana muda wa kukata rufaa kumbe wana mipango ya kishamba underground, wanajisumbua tu.
 
HALIMA MDEE?

Ni vigumu kuamini kwamba ameweza kugeuka na kuwa hivi alivyo sasa.

Kwa nini ukihujumu chama ulichokipenda kwa moyo wako Halima?

Baada ya mateso yote yale, inakuwaje ubadilike na kushirikiana na watu waliokuwa wakikutesa na kukitesa chama?

Kuna kitu unachokisimamia kweli kwa dhati katika maisha yako?
 
CHADEMA kinasimamia kikamilifu mchakato wa kifo chake.

Wananchi walikinyima kura lakini enewei sikio la kufa....
Nani kakudanganya kwamba Chadema ilinyimwa kura ?
 
HALIMA MDEE?

Ni vigumu kuamini kwamba ameweza kugeuka na kuwa hivi alivyo sasa.

Kwa nini ukihujumu chama ulichokipenda kwa moyo wako Halima?

Baada ya mateso yote yale, inakuwaje ubadilike na kushirikiana na watu waliokuwa wakikutesa na kukitesa chama?

Kuna kitu unachokisimamia kweli kwa dhati katika maisha yako?
Ni aibu kubwa sana kwake na familia yake , Mkuu ni hivi , mimi nilikuwa miongoni mwa wachache sana ambao hawakumuamini kabisa Halima Mdee kwa kipindi kirefu mno , nilianzia kwenye sakata la Zitto kuondolewa Chadema , na nakuhakikishia kwamba Mbowe alifahamu jambo hili ila kwa kuepusha shari akampeleka Mdee Bawacha , ilikuwa mkakati wa kumzubaisha na alizubaa kweli ( Hili nitalitengenezea uzi maalum )
 
Vijana wa Mbowe mmeshajipanga kuendesha kampeni chafuzi mitandaoni.
 
Baraza la Wanawake wa Chadema limekanusha kuitisha kongamano lolote linalohusiana na BAWACHA , hivyo halitambui kongamano lolote litakalofanywa kwa kutumia jina lao.

View attachment 1651556View attachment 1651558
Sasa haya ndio mambo ambayo Tundu Lissu na Msigwa wanapaswa kujadili na kujikita zaidi ili kuleta mustakbali wa chama chao sio unaacha migogoro ya chama chako unakuja kujadili maslahi na mambo ya ACT., period..!
 
CCM wanahangaika kweli na hawa COVID -19 namna ya kutengeneza mapasuko CHADEMA ila wanakwama kila mbinu.
Yaani watu wanao shabikia upinzani hua ni kama punguani tu,ni afadhari kukaa kama sisi bila vyama vya siasa,sasa hapa hao CCM wanakujaje? Kutwa kucha ni visingizio tu,chama cha siasa kimesha jichanga lakini shutuma zinaenda kwa kundi jingine,wapuuzi kweli ninyi
 
Ni aibu kubwa sana kwake na familia yake , Mkuu ni hivi , mimi nilikuwa miongoni mwa wachache sana ambao hawakumuamini kabisa Halima Mdee kwa kipindi kirefu mno , nilianzia kwenye sakata la Zitto kuondolewa Chadema , na nakuhakikishia kwamba Mbowe alifahamu jambo hili ila kwa kuepusha shari akampeleka Mdee Bawacha , ilikuwa mkakati wa kumzubaisha na alizubaa kweli ( Hili nitalitengenezea uzi maalum )
Basi, kama ni muigizaji kiasi kile anastahili tuzo ya uigizaji.

Mtu kuigiza hadi unavunjwa viuongo kikwelikweli; sijawahi ona mwigizaji wa namna ile.

Niliposikia Mbowe akisema angependa mrithi wake awe ni kutoka BAWACHA, nilidhani alikuwa akimlenga Halima; kunbe sio? Nani basi?

Juhudi zote zile alizokuwa akizifanya hadi Bungeni, ilikuwa ni maigizo?

Lakini pia tukubali kuwapa sifa zao watu wa CCM waliofanikiwa kumrubuni. Kwanza mtu ungeanzia wapi kumsogelea Halima na kuanza kulainisha kirahisi vile? Yaani kukosa ubunge tu, tena kwa kunyang'anywa kwa nguvu, ndiyo ikawa sababu rahisi ya kumlainisha kirahisi vile Halima na akina Ester wawili?

Hawa mabinti wameingia katika historia ya usaliti, itakayowaandama maisha yao yote. Sasa wanazidi kujidhalilisha kwa haya wanayoendelea kuyafanya, huku wakiwa nje ya chama.

Matumaini ya wengi baada ya mkasa huu wa Halima na wenzake ni kwamba CHADEMA imefuzu. Imeviruka vihunzi vyote kwa ufanisi mkubwa. Chama hakijawahi kujitakasa kuliko kilivyojitakasa wakati huu. Kazi kwenu sasa kuzidi kukiimarisha chama hasa huko vijijini na mitaani.
Sasa hivi hakuna asiyejua uwepo wa CHADEMA tena ndani ya nchi hii.

Mwisho: ushauri wangu. Tazameni kwa makini sana sera zenu. Kuna baadhi ya sera hizo haziuziki kabisa kwa jamii ya waTanzania. Zitazameni kwa makini mzirekebishe panapotakiwa.
 
Kumetokea nini kwa viongozi wa BAWACHA waliobaki? Pamoja na maelekezo ya Mwenyekiti kujwazwa haraka kwa nafasi walizokuwa wakizishikilia, bado mpaka sasa hazijajazwa na watu wengine, kwa nini?

Nia yao ya kukata rufaa haiwahalalishi kuwa bado wanashikilia nyadhifa zao mpaka pale maamuzi ya rufaa zao yatakapotolewa?
Kwa kifupi ni kwamba ukihukumiwa kifungo, unaendelea kutumikia adhabu yako wakati mchakato wa rufaa unaendelea. Inavyoonekana Wala hawana haraka ya kukata rufaa. Ni haki yao tuwaachie.

Michakato ya ndani ya chama inaendelea, sio lazima iwe utakavyo wewe. Tuliza boli
 
Yaani watu wanao shabikia upinzani hua ni kama punguani tu,ni afadhari kukaa kama sisi bila vyama vya siasa,sasa hapa hao CCM wanakujaje? Kutwa kucha ni visingizio tu,chama cha siasa kimesha jichanga lakini shutuma zinaenda kwa kundi jingine,wapuuzi kweli ninyi
ccm wanahusika sana tu. Sag lote hili ni mgogoro katika CHADEMA, na wao si waliitangazia dunia lazima waue upinzani? Na pia ishu hii imebebwa na dola ya ccm. Hushangai mtu kujaza fomu za ubunge akiwa magereza? Na kwa nini mpaka wanavunja Katiba, watu si wanachana wa chama cha siasa lakini spika kakomaa nao. Kama yote hayo kwako huelewi, basi achana na mijadala ya siasa
 
Back
Top Bottom